Unaweza oana na Mtu Salvage uka enjoy mapenzi kweli?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,764
2,000
Mfano Mwanamke - alikuwa Malaya ....kachakazwa sana ...yaani watu wameosha sana kwake. Sasa inatokea unakuja kuwa naye labda siku ulikuwa na njaa ukala ukakuta naye amekuganda mwishoni anasema muoane. Inawezekana ukaja enjoy life naye? Ashatoa sana mimba mpaka nyingine ilikataa kutoka akazaa mtoto.

Mfano Mwanaume - alikuwa Malaya ameosha sana Rungu... Yaani kwa kila aina ya visima kachovya,kuloweka na kuoshea Rungu. Anafahamika. Hachagui, Habagui atakayemzika Hamjui. Leo hii wewe mdada jamaa anakufuata anasema anataka kukuoa. Ashagawa sana mbegu watoto wa nje wawili watatu na mama zao wanazagaa zagaa tu huko.kawatolesha wanawake mimba mpaka nyingine zilikataa.

Je mnadhani watu kama kama Salvage au Vyuma Chakavu unaweza ukaishi naye kwa Amani kabisa Mtaani? Au Utahama ukaishi naye mbali asipofahamika. Ila je utamwamini kuwa ametulia?
 
Rowin

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,067
2,000
Inawezekana....iwapo mtakubali kuanza kurasa mpya na sio kukumbushiana na yaliyopita.

Wangapi wanahama mji, mkoa , nchi hata mabara kutafuta wenza...je ni wote wanaweka wazi historia yao ya huko nyuma....

Endesha maisha yako ya mahusiano utakavyo na sio kuruhusu wanaokuzunguka kuyaendesha...
 
Dada D

Member
Sep 30, 2019
58
125
Inawezekana, nimeshaona wadada wawili walikuwa wanajiuza, wameolewa na wanaishi vizuri na wanaheshima na upendo kwa mume ndugu jamaa na majirani
Hawana tabia za uhuni tena
Ukimuona na ukaambiwa alikuwa na tabia ya umalaya unakataa
Na wote wawili waume walio waowa walijua historia kabla ya kuoa
Kwa mwanaume ambaye alikuwa na tabia za umalaya na sasa ameoa yupo mmoja ila ameoa hivi karibuni siwezi kumshuudia maana ni mapema mno
 
Mcheza Viduku

JF-Expert Member
Jun 24, 2020
515
1,000
Jamaa yangu kaamua kuchukua Changudo lililokuwa linajiuza Kona ya Bwiru (pale Las Vegas) na siku analinunua tulikuwa wote, jamaa akanogewa na mziki wa Kinyiramba akabeba jumla.

Lakini sasa naona mzani wa mapenzi yao ni kama umeelemea upande mmoja, mwanamke anaona hana cha kupoteza, wakipishana kauli kidogo anabeba begi kutishia kuondoka, akiomba hela kama jamaa hana anatishia kurudi kwenye kazi yake......jamaa yangu amekuwa kama vile mtumwa;

Vyombo aoshe yeye
Kufua yeye
Kupika yeye
Zamu ya usafi yeye
Usafi ndani mwao yeye

Mwanamke miguu juu kwenye kochi kutwa nzima anaangalia tv, jamaa akiambiwa lolote na ndg zake kuhusu huyo mwanamke wake analibeba zimazima hadi kwa wife tiiiiiiii.......anamwambia kila kitu, sasa hivi hapatani na ndugu zake wote, kali zaidi anaingizwa mkenge huku tunaona, kaambiwa eti anatakiwa atume hela ya posa sh laki 6 kwa mama yake ..........

Ngoja kwanza niishie hapa lakini yako mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo wa mahusiano yao hadi kufikia kuoana ulikuwaje?
Je walikaa chini nakuongelea swala la kuoana?
Au mwanamke anajua bado ananuliwa?
Navyojua mwanamke ananafasi yake kama mke na mwanaume ananafasi yake kama mume
Kuosha vyombo, zamu za usafi, je huyo jamaa aendi kutafuta adi anafanya hizo kazi?
Mke kazi yake ni kunyoosha miguu na kuangalia Tv?
Hiyo mahari ya 600,000/= inatumwa kwa mama ndio utaratibu wetu wa kutoa mahari hivyo kama unatuma vocha sisi wa TZ
HAKUNA KUNOGEWA KWA STAIL HIYO
JAMAA YAKO HAJITAMBUI
Maana mke anajenga familia siyo anabeba mabegi na kutishia kuondoka
HUYO BADO ANAMNUNUA SEMA HUJUI UKWELI UNAWAONA TU .....
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
54,209
2,000
Jamaa yangu kaamua kuchukua Changudo lililokuwa linajiuza Kona ya Bwiru (pale Las Vegas) na siku analinunua tulikuwa wote, jamaa akanogewa na mziki wa Kinyiramba akabeba jumla.

Lakini sasa naona mzani wa mapenzi yao ni kama umeelemea upande mmoja, mwanamke anaona hana cha kupoteza, wakipishana kauli kidogo anabeba begi kutishia kuondoka, akiomba hela kama jamaa hana anatishia kurudi kwenye kazi yake......jamaa yangu amekuwa kama vile mtumwa;

Vyombo aoshe yeye
Kufua yeye
Kupika yeye
Zamu ya usafi yeye
Usafi ndani mwao yeye

Mwanamke miguu juu kwenye kochi kutwa nzima anaangalia tv, jamaa akiambiwa lolote na ndg zake kuhusu huyo mwanamke wake analibeba zimazima hadi kwa wife tiiiiiiii.......anamwambia kila kitu, sasa hivi hapatani na ndugu zake wote, kali zaidi anaingizwa mkenge huku tunaona, kaambiwa eti anatakiwa atume hela ya posa sh laki 6 kwa mama yake ..........

Ngoja kwanza niishie hapa lakini yako mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu kaamua kuchukua Changudo lililokuwa linajiuza Kona ya Bwiru (pale Las Vegas) na siku analinunua tulikuwa wote, jamaa akanogewa na mziki wa Kinyiramba akabeba jumla.

Lakini sasa naona mzani wa mapenzi yao ni kama umeelemea upande mmoja, mwanamke anaona hana cha kupoteza, wakipishana kauli kidogo anabeba begi kutishia kuondoka, akiomba hela kama jamaa hana anatishia kurudi kwenye kazi yake......jamaa yangu amekuwa kama vile mtumwa;
The

Haha hapa kuna mkono wa mtu sio bure
 
Noelia

JF-Expert Member
May 26, 2017
14,677
2,000
Kama alivyosema Khantwe Basi ndo hivyo, salvage mwenyewe aamue kubadilika huyo mbona fresh tu tunaishi kwa raha kuliko waliooana mabikira

katika mapenzi usipende kuumia na maisha yaliyopita ya mwenzi wako maana Ni ujinga we komaa kuanzia pale mlipokutana
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,301
2,000
Jamaa yangu kaamua kuchukua Changudo lililokuwa linajiuza Kona ya Bwiru (pale Las Vegas) na siku analinunua tulikuwa wote, jamaa akanogewa na mziki wa Kinyiramba akabeba jumla.

Lakini sasa naona mzani wa mapenzi yao ni kama umeelemea upande mmoja, mwanamke anaona hana cha kupoteza, wakipishana kauli kidogo anabeba begi kutishia kuondoka, akiomba hela kama jamaa hana anatishia kurudi kwenye kazi yake......jamaa yangu amekuwa kama vile mtumwa;

Vyombo aoshe yeye
Kufua yeye
Kupika yeye
Zamu ya usafi yeye
Usafi ndani mwao yeye

Mwanamke miguu juu kwenye kochi kutwa nzima anaangalia tv, jamaa akiambiwa lolote na ndg zake kuhusu huyo mwanamke wake analibeba zimazima hadi kwa wife tiiiiiiii.......anamwambia kila kitu, sasa hivi hapatani na ndugu zake wote, kali zaidi anaingizwa mkenge huku tunaona, kaambiwa eti anatakiwa atume hela ya posa sh laki 6 kwa mama yake ..........

Ngoja kwanza niishie hapa lakini yako mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
TABIA YA MTU NI NGOZI BWASHEEE .

ni ngumu sana kwa mwanamke aliyezoea maisha hayo kwanzaidi ya miaka kadhaa, yakawa sehem ya vinasaba vyake, alafu leo hii Abadilike.

Ni ngumu mnoooooo ....

Huyo labda iwe hivi, Alikua Ivo kwa muda fulan... Akaamua kuachaaaaa, baada ya muda ndo mmekutana na kuoana.

Lkn eti umemkuta kwenye mishishe zake ?? Umebeba?? Umeoa, kwa imani kua atabadilika, baada ya kukuahidi kubadilika????? haahahahahahahahaaha

Dear brazaaa ,utakua unachekesha.
 
Sio kwamba nachekesha huo ndio ukweli na uhakika wa jinsi wanavyoishi, jamaa akienda kazini anaacha kodi ya meza lakini akirudi anaambiwa hakuna bajeti ya chakula chake pale, imekuwa mazowea kila hela anayoipata yooooote inafikia kwa mwanamke, unaweza kumuona ana sh laki 3 sasa hivi, akiingia ndani akatoka usishangae anakuomba buku......keshakung'utishwa zote .....

Tulikuwa tunapiga nae tungi na hata siku anamnunua huyo mwanamke tulikuwa tunapiga ulanzi, lakini kwa sababu mwanamke hanywagi kamkataza nae kunywa eti ana majini makorofi sana , mwezi uliopita walipata msiba shangazi yao alifariki lakini akamkataza hakuna kwenda kulala huko msibani utakwenda siku ya kuzika na kurudi, jumamosi iliyopita jumuiya ilikuwa inasali kwake lakini akamkataza hakuna kutoka na yeye akatii.........hakutoka!!!

Niendelee kuwapa visa vyao au niishie hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom