mtu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jokate nae yumo?

    Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja. Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia. Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
  2. I just ask

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyesoma marketing course, anaweza kujiajiri vipi?

    Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
  3. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtu kuteuliwa kushika nafasi yoyote Serikalini uwe ni walau kuanzia miaka 35

    Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma. Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Unafungua daftari la michango ya rambirambi unakuta mtu wa kwanza kaandika 1,200,000/=

    Good afternoon jamiiforums Kumpa mfiwa pesa mkononi au kuandika kwenye daftari ni kipi bora zaidi emotionally? Jenga picha umeenda kwenye msiba wa baba yake rafiki yako sasa umefungua daftari la rambirambi unataka kuandika mchango wako wa 10,000/= mara ghafla unakutana na jina la mtu wa kwanza...
  6. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha #California, Berkeley ulibaini Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke, kujitenga na wengine au kutamani kuwa pekee yake muda mwingi Watu wasiopata usingizi wa kutosha huwa hawavutii Watu wengine kijamii na hata Watu waliopumzika vizuri huhisi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kozi gani huwezi kumshauri mtu asome?

    Thread
  9. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

    Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa. Tunaomba support yenu wadau.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

    Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Anayotendewa mtu mweusi Israel

  12. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

    Habarini wananzengo, Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa. Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu"...
  13. Darucha

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuendelea kupata mkopo kama nimeacha chuo bila kufuta usajili wangu katika chuo husika?

    Karibuni jamani mchangie mawazo yenu kuhusu hii mada mtu anaweza akaendelea kuchukua boom Kama ameacha chuo lakini Bado hakufuta usajili wake katika chuo chake.
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

    "Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli" Ndugu @DrHmwinyi Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa. Mahonda, Kaskazini Unguja. Mei 29, 2021.
  15. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtu aliyebeba punda na Watanzania

    Mwanadamu mmoja alikua akisafiri na mkewe wakitumia usafiri wa punda yaani wakiwa wamempanda punda yule lakini wakiwa njiani katikat ya safari yao wakakutana ma wanadamu wakawapazia sauti wakisema; ''ninyi watu hamuoni ya kuwa mnamuumiza punda huyo iweje ninyi wote wawili mumpande punda mmoja...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Serikali muliangalie la kuajiri watu wasioelewa wajibu wao

    Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west). Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
  17. Darucha

    JamiiForums Tanzania Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

    Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant 6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mtu aliye intelligent, mwenye exposure na street-oriented anipe ushauri

    Mimi ni graduate niliyeajiriwa ila sioni future kwenye ajira kila nikiangalia mbele naona giza tu. Nilijaribu vibiashara lakini sioni mafanikio yeyote mpaka sasa nimeona labda nyota yangu haipo kwenye biashara. Nimejichanga kwa sasa Nina milioni 7.5 Katika kutafakari nitachomokaje kwenye maisha...
  19. Good Father

    JamiiForums Tanzania Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

    Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja. Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana. Tukapata msosi tukaelekea...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kufa mtu Lugalo: TANROADS acheni hizo

    Barabara ya Mwenge-Lugalo-Mbezi Beach leo jioni ilikuwa balaa. Kuna mkandarasi anafanya kazi mchana hadi jioni NA KUZIBA lane moja. Hapo ndio naona hii ni kichaa kabisa, watafanyaje kazi wakati wa maximum traffic? Matokeo yake ni magari kuxiba njia zote kabisa. TANROADS tumieni akili ya...
Back
Top Bottom