Bhujegwe
Senior Member
- Nov 23, 2013
- 135
- 191
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa zaidi ya vijana 30 kutokea shule moja ya serikali.
Je,ni utaratibu upi wa kikanuni anapaswa kuupitia?
Je,anaruhusiwa kujisajili kama wale wanaorudia mtihani baada ya kufanya vibaya?
Naombeni ushauri wa kitaalamu ni jinsi ipi afanye.
Nitangulize shukrani!