Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!)
Kwanini?:
Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika Milioni utakuwa umekatwa jumla ya Shillingi 41,000 wakati mwenzako mwenye MZIGO akituma Milioni atakatwa 8900 tu.
Kwanini Asilimia Kubwa ya tozo imewekwa katika kutuma pesa kuanzia 5,000/= mpaka 300,000/= ?
JIBU:
Mwigulu na wenzake wamefanya utafiti kwa kuchukua takwimu na kubaini kuwa sehemu kubwa ya miamala inayozunguka kwenye mitanao ya simu ni ya kiwango hiki cha ELFU TANO mpaka LAKI TATU (Na wengi zaidi ni hasa kufikia shilingi LAKI MOJA) hivyo range ya asilimia ingekuwa sawa kama VAT wao wasingefaidika na miamala mikubwa hivyo wao wameangalia kundi linalotuma sana miamala na kuliwekea tozo kubwa. (Levy per transaction)
Na swali kuu hapa ni kwa nini kama wanakata Levy per Transaction kwa nini wasiwe na Standard Levy kwa kila muamala au wangekuwa na Fixed rate ya asilimia kwa fedha inayotumwa. Why kuna kundi limewekewa %ge kubwa?
Tatizo hawakuangalia wala kujali kuwa kundi hili ni la watu wa aina gani?.Walifocus zaidi kwenye hitaji lao la kukamua Maziwa ya kutosha bila kuangalia hali ya Ng`ombe kama ana afya au lah!
Serikalisikivu hii kweli?
Anayetoa TZS 200 Serikali inamkata kodi ya 7%. Anayetoa TZS 1000 mnamkata 7.3%. Kwenye KODI lazima kuwe na “proportionality” na “equity”. You are taxing the non-bankable economically disadvantaged for using mobile money systems. It’s a bad policy.