ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe mjomba.
Daaah now nipo kwa Wahindi mtaa Libya nauza duka la vifaa vya baiskeli tu sijui hata mwisho wangu ukoje maisha bwana.
Daaah now nipo kwa Wahindi mtaa Libya nauza duka la vifaa vya baiskeli tu sijui hata mwisho wangu ukoje maisha bwana.