Tanzania na Kenya zabadilishana wafungwa, kila mtu akafungiwe kwao. Tunaendelea vizuri ila sijui kama Watanzania wanamsoma Rais Samia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile, Pemba na Mombasa ndio ndugu kabisa.

Kasumba za chuki chuki za ujamaa hazikuwafikia huko visiwani, ila Watz wa mikoani labda sijui kije kizazi cha baadaye sana maana hawa wa sasa walishapokezwa uwoga fulani hivi na mababu zao walioishi enzi za ujima.

Pia wazawa wa Dar kiaina huwa hawana issues kihivyo, wajanja wa mjini mjini hawajawahi kuwa na sababu za kuogopa ogopa Wakenya, ila kiongozi akitokea huko sijui wapi inakua mwendo mara vifaranga wetu watiwe viberiti, mara ng'ombe mara sijui nini

===============

Kenyans jailed in Tanzania will have a temporary reprieve after successful talks between Kenya and Tanzania to exchange prisoners.

Dan Kazungu, Kenya's High Commissioner to Tanzania has confirmed that the exchange deal will see Kenyan citizens jailed in Tanzania transferred to Kenyan jails to finish their sentences there.

In the exchange, Kenya will also release all Tanzanian inmates in Kenyan jails , in a move that is credited to the outstanding relationship between Kenya and Tanzania.

The exchange deal is seen to fulfill President Kenyatta's decree that no Kenyan should be jailed in a foreign country, and that all Kenyans found to have broken the law in other countries be expatriated into the country to serve and finish their sentences there.
Kazungu reiterated his commitment to see the deal through, adding that he has the President's backing on the matter.

"Kenya and Tanzania have enjoyed cordial relationships and we are working to actualize the plan," stated Kazungu.


The talks with Tanzania are timely as there have been several cases involving Kenyan prisoners being unfairly treated in foreign countries, and consequently being denied justice in court, with reports showing that most of Kenyans serving time in foreign prisons are in China.

When this exchange is actualized, Kenyans jailed in Tanzania will have their jail term re-evaluated to fit with Kenyan legal parameters and provisions suitable for the crimes they were jailed for.

Kazungu argued that it was paramount to protect Kenyan prisoners as they deserve an equal hand in the rule of law, and that they would have a better chance at that in Kenya.

He went on to refer to previous cases of Kenyan prisoners being tortured in foreign countries, and some meeting their deaths at the hand of countries that have no regard for the administration of justice.

The Commissioner added that the recent visit by Tanzanian President Samia Sulu , also contributed to advanced dialogues in a bid to expatriate the Kenyan prisoners in Tanzanian jails, adding that Kenya-Tanzania relations continue to blossom.

 

Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,939
2,000
Saizi mna undugu na wazanzibar na sio Tanzania ,wakenya hawajawahi kuwa na akili .Aya muwaambie waanze kuwauzia na urojo na nyie mpeleke githeri
 

game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,048
2,000
Hao Watanzania mliowafunga huko Kenya wakirudi huku wanaachiwa na kuwa huru.
 

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
6,081
2,000
Undugu wa Pwani yetu na Pwani ya huko mpaka kule visiwani ulianza hata kabla hamjaitwa Tanzania au Tanganyika au hata kabla mababu zenu hawajachorewa ramani na mzungu.
Wakenya aheri warudi wakafungwe huko Kenya, hawa watu ni ngumu sana kuwashibisha ugali wa sukuma wiki.
 

nomasana

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
1,556
2,000
Samia is the face of the war between MATAGA wing and the kikwete wing of CCM. literally every decision she is making is bringing back the kikwete agenda save for a few magufuli projects

Some the moves/decisions she's making are too bold which negatively affects the magufuli/nationalistic people. Which means for her to make those decisions she'd have to get the backing of the kikwete/progressive wing of the party.
 

Ntaghacha

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
933
1,000
Huu mikataba ya kubadilishana wafungwa ulikuepo kati ya kenya na Tanzania 🇹🇿 hata kabla Magufuli kufariki,so,siona upuuzi unaoandika humu.
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,901
2,000
Huu mikataba ya kubadilishana wafungwa ulikuepo kati ya kenya na Tanzania 🇹🇿 hata kabla Magufuli kufariki,so,siona upuuzi unaoandika humu.

Mikataba aina mingi ilikuwepo, ila haikutekelezwa tukawa wahasama kwenye mengi tu.....chokochoko bila kuchokozwa kutwa mikwara na matamko.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom