Hivi ndivyo mume wa mtu alivyoumbuka!

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
2,017
3,037
Jamaa alikuwa na tabia akitoka kazini jioni anapitia bar anaopoa malaya anakula mzigo upesi anarudi nyumbani. Kutokana na kuwahi kwake nyumbani mke akajenga imani nae.

Siku ya tukio, jamaa kama kawaida katoka kazini kapitia bar kakuta kuna malaya mpya, hakumkawiza akapeleka LUGHA, haooo kwenye bodaboda wakazama gesti.

Saa saba usiku mke anapigia simu watu wa karibu mmewe hajarudi. Piga simu kote inapodhaniwa anaweza kwenda majibu hatujamwona.

Asubuhi likaanza zoezi la kumtafuta akaonekana saa saba yupo gesti hajitambui tena uchi na nyuma sijui kafanywa nini.

Akapelekwa nyumbani akaitwa daktari amtibie palepale. Amepona ila valangati limebaki na mkewe

NB:Wazinzi tuendelee tu hizi ni AJALI tu kama ajali zingine zilizozoeleka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom