mtu

  1. B

    Kuhamishwa kwa OCD wa Wilaya ya Hai: Je, matukio yatakuwa yameisha au bado kuna mtu mwingine wa kuhamishwa?

    OCD wa Wilaya ya Hai alihamishiwa Kilosa mwezi wa 12, huyu alikuwa sehemu ya Wilaya ya Hai kutokuwa tulivu kisiasa wakishirikiana na DC sasa amehamishwa ila pamoja na kupewa barua ya uhamishwa alikuwa bado ana panchi ili asihame tukahisi kuna maslahi mapana sana ila hatimaye amehama. Je...
  2. Ni ushauri gani umewahi kumpa mtu ukaleta matokeo ya faida au matatizo makubwa?

    Wakuu mambo vipi Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao. Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
  3. C

    Je kuna uwezekano wa Mtu kufanya wizi kwa Account ya mtu, kwa kupitia Account namba tu?

    Wakuu kuna hili swali nimekua nikijiuliza, ika nikaona ni bora nipate na mawazo ya wadau kutoka humu kwa katika jukwaa hili la Great Thinker. Hivi inawezekana mtu kufanya uhalifu(wizi) kwa kupata Account/Akaunti namba ya mteja wa Benki fulani? Sijui nimeeleweka wakuu.
  4. M

    Je, hii siyo dalili pekee ya Mtu aliyekuwa Tajiri, Matanuzi ya kila aina na Jeuri ya Kimafanikio kuanza Kufilisika?

    Jacqueline Wolper atangaza kutaja mastaa 10 anaowadai. Taarifa: EastAfricaTV
  5. Je, ni sahihi kuoa/kuolewa na mtu asiye wa kabila lako?

    Habari za mchana, Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo. Natanguliza shukrani, mchana mwema.
  6. S

    Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  7. Nataka mtu wa kufanya "drip irrigation" kwa ajili ya Kilimo cha Mapapai

    Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation. Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu. Kwa...
  8. Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Wajuzi naomba msaada. Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa. Msaada
  9. Maeneo local ambayo mtu anaweza kwenda kutalii.

    Hapa tuzungumzie maeneo ya utalii yanayopatikana maeneo yetu. Maeneo ambayo hata kwa miguu unaweza kwenda na haulipishwi chochote. Weka maeneo ya utalii yanayopatikana kwenu, utalii wa ndani siyo uende Serengeti. Jiwe la Bismarck Mwanza.
  10. Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

    Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu, Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu...
  11. Naombeni msaada kwa mtu ambaye ana uzoefu na biashara ya Apple

    Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza. Sasa nilikuwa nataka nijue mwendo wa biashara sasa hivi ukoje mtaani kwasababu nimefanya biashara mda kidog na pia kwa mtu...
  12. Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya...
  13. K

    Kuelekea mtanange wa kimataifa, Simba yafanya mauaji ya 'kimbari'. Yampasua mtu 5

    Ni 5G. Pongezi Gadiel Michael Kamagi, C. Mugalu,Moquisone, M.Kagere na beki kitasa Ame. Kongole kwa S.Ndemla kwa attempts za hatari..S.S.C na sisi mashabiki tunajivunia Kahata, Ajib kwa zile mov'ts zao za hatari. Kwa performance ile Kombe la FA, Kombe la VPL 2021 lazima vitue pale...
  14. Kimfaacho mtu chake wahenga hawakukosea

    Miaka 20 iliyopita kuna mtu alinipa habari ya nyumba inayouzwa, hii familia ilikuwa inamuuguza mzazi wao na katika shida waliuza nyumba ya familia. Mjengo ulikua vyumba sita na uani choo cha shimo, bafu na jiko, pamoja na vyumba vitatu vya ziada. Sikutegemea kama nitaishi mitaa ile. Nilionana...
  15. C

    Nafanyaje kama line yangu ilipotea nataka ku-renew ila naona kuna mtu kaisajili kwa jina lake?

    Inakuwaje waheshimiwa? Line yangu ya airtel nilipoteza na niko kwenye mpango wa kuchukua loss report ili ni re-new ila tatizo ni kuwa kuna mtu anatumia hiyo namba tayari na naona kaisajili kwa jina lake sio langu tena, sijajua wametumia utaratibu gani. Nafanyaje wakuu?
  16. Nguvu za giza zimevunja ndoa ya jirani yangu

    Jamaa alikuwa anaishi vizuri na mkewe,wameoana kwa shangwe na furaha kubwa, wakabahatikiwa kupata mtoto mmoja katika ndoa yao. maisha ya ndoa yalianza kubadilika baada ya rafiki yangu kuanza safari za kikazi mara kwa mara,ndipo shemeji akaanza tamaa za kimapenzi kwa kijana mmoja mkopesha...
  17. Msaada wa kisheria; Ni muda gani unaruhusiwa mtu kukata rufaa kutoka Mahakama kuu kwenda Mahakama ya rufaa kwa kesi za madai?

    Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa. Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
  18. John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  19. M

    Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  20. M

    Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…