mtu

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  3. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Why do some suicide missions fail?

    Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua? Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika? Naombeni majibu kuna utafiti nafanya hapa niandae ripoti. Natanguliza shukrani
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana zake na kila mtu ana chake. Tusilazimishe kufanana

    Hello Hello Hivi hii kasumba ya watu kutaka wengine wafanane au wawaze kama wao, fikra na mitizamo au maoni viwe kama wao ni uzuzu wa kielimu au ni dhana ya unyani? Upekee wa kiumbaji ni pamoja itikadi, ufahamu, imani, ufuasi, kutumwa, kutumika, unafiki, uoga, etc. Imeonekana kizazi cha...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  9. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

    Watu humu mambooz. Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili. Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na wakushi ambao hutumia uchawi/mazingombwe ya kumtemesha mtu nywele na kucha

    wanakupumbaza akili kwa madawa ya kienyeji ama technique wazijuazo wao na kukufanyia mazingaombwe ya kukutemesha kucha au nywele, huwa wanakua wawili mmoja anajifanya anauliza sehemu mwengine anajifanya mpita njia. Mkasa wangu niliwahi kumsimulia mtu moja tu wa karibu sana, wengine huwa...
  11. Dezoizo52

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

    Hi gentlemen! Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off? Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani. Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu. Tusaidiane kwenye...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa ni Mtu kazi au bahati tu?

    Na Charles William Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti. 2018 Rais Magufuli alianza kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, mwaka 2019 akamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kisha 2020...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

    Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
  15. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

    Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
  17. HabariTech

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kumkopa au kumkopesha mtu ni kutaka kuvunja urafiki

    Wajameni, hali ni ngumu. Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa. Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako. Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu. Mara simu haipatikani, amekublock! Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatumzuii Mtu kuanzisha Televisheni ya Mtandaoni

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba bado inaendelea kusajili vyombo hivyo ili viweze kuuhabarisha umma. Amesema lengo la Serikali ni...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
Back
Top Bottom