ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri.
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?