The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia.
Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni wale watu waliokua kwenye utawala wa Jakaya Kikwete, yaani karibu wote waliokua kwenye utawala wa Kikwete Samia amewarudisha kwenye nafasi za utendaji Serikalini.
Rais Samia anaamini ili utawala wake uende anavyotaka basi ni kua na timu ya Kikwete.
Nashindwa kuelewa ina maana watu 60m Samia amekosa kabisa watu wapya yeye ni kurudisha watu wale wale wa miaka ile Serikalini.
Watu wanaposema kuna mtu mwingine anaeongoza hili taifa kwa nyuma sasa naanza kuwaelewa.
Angalia kwa mfano aliowarudisha, Alianza na Mafuru akampa ukamishna wa madeni ya nje kisha unaibu katibu mkuu, hiyo nafasi ya kamishna wa Madeni kampa R. Bade aliekua mkuu wa TRA enzi za Kikwete.
Kwa watu 60M hakuna mtu mwingine mwenye akili zaidi ya kina Bade, Mchechu, Mafuru na wengine?