Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Mpondoshilla

Member
Jul 4, 2022
36
127
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.

Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika

Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi
 
Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.

Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.

nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.

nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.

sijawahi tafutwa hadi leo
 
Mama mchungaji kwenye jamii wana muheshimu kweli. Alikuwa anali na rafiki yangu. Sasa kuna siku alinikuta dukani na nunua K VANT, kaanza hubiri nikakausha sikutia neno.
Siku natoka mahali nakutananae kaanza kuni hubiria ile nakaribia geto nika mchana kuhusu jamaa najua ABC na nikamwambia ushahidi ninao. Hahahahahaha alikuwa mpole balaa akawa ananionea aibu.
Akaja kuniomba aje geto tuonge.
 
Rafiki yangu wa damu kamloga bosi,ndani ana madude dude ya ajabu ajabu na makarstasi mekundu ya Qur'an (kiarabu) kibao kaweka chini ya kitanda

Niliona siku niliyoenda kumcheki tukaoiga Stori kisha akaenda dukani kha kitu alisahau akanipigia simu akaniambia nimwanaglizie,nikisimama chini nikakutana na hayo madudu yanachinhulia uvinguni,nikaisoma nikakuta jina la bosi wake limeandikwa mara nyingi sn Kwa maandishi mekundu..

Hajui km najua maana nilikausha maana hainihusu na umepita mwaka sasa
 
Nyingine Kuna Mzee wa bongo muvi rafiki yangu mkubwa sn.Yeyeni maarufu sn Kwa kuonekana kwenye video za wasanii wa bongo Flava na baadhi ya matangazo,nyumbani kwake wasanii wa bongo flavour hawakauki .Siku moja Simba tulifungwa akawa ananicheka sn nikachomekea hapo hapo kwenye maongezi nikamuuliza ana connection gani na wasanii wa bongo flavour akajibu anaishi nao vizuri Tu na ni kama wanawe


Kumbe mwenzie najua kitambo sn ni mchawi na wanakuja kufata mambo ya ulozi..Ni mchawi kinoma Alafu hajui km najua
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Daaaaaaa....n nouma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom