mtu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

    Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  3. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
  4. lukala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu makini sana

    Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa. Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  8. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

    Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maneno muafaka kwa nyakati hizi-siyokutafuta mtu wa kulaumu

  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

    Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali. Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana...
  14. Squidward

    JamiiForums Tanzania Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. Wazee mke wa mtu ni sumu. Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu. VIDEO
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

    Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni. Gesi Godoro Nk aje nipo DSM Temeke
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mshauri: Msongo wa mawazo husababisha mtu kunenepa

    Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond amezungumzia upande wa pili wa msongo wa mawazo kitaalamu kwa kusema huwa inasaidia kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi na inaweza kumfanya anenepa. Mosses amesema wengine wakipata msongo wa mawazo hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Leo nimemsikia mtu wa ajabu redioni

    Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao. Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo. Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
  20. Chief Kibonde

    JamiiForums Tanzania Kumchukulia mtu visa au pasport

    Habarini ndugu za leo na wakati huu. Naomba kujua kama kuna mtu mwenye experience na visa. MIMI NILI OMBA VISA MNAMO MWEZI WA 4 TATEHE 5 NA JANA NIMEPOKEA UJUMBE WA EMAIL, KUWA NIKA COLLECT MY PASPORT JE NAWEZA KUAGIZA MTU AKANICHUKULIA? MAANA NIPO NJE YA MJI KWA DHARURA KIDOGO. Asanten
Back
Top Bottom