Kumepekuwepo na mijadali mingi sana kuhusu hili swala, hasa katika nchi zetu za africa mfano Tanzania.
Tanzania mwanachuo anapomaliza chuo na kupata Degree yake basi huwa anahisi maisha ameyamaliza. huwezi kumwambia chochote utasikia mimi nina Degree yangu wewe wa darasa la saba utaniambia...
Ukielewa hii methali basi itakusaidia sana:
1. Kuepukana na tamaa.
2. Itakusaidia kufurahia mafaniko ya wengine bila kuwaonea wivu wala kuwachukia.
3. Itakupa nguvu ya kuongeza jitihada ili uweze kupata cha kwako.
Pia, ukimfundisha mtoto wako huu msemo utamsaidia sana:
1. Kutokuwa mwizi au...
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe.
Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo.
Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika?
Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
wakuu kwema?
Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma nature na Diamond nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka nikataka kumzaba makofi.
ebu tumsaidieni nani mkali kati ya hio miamba miwili hapo juu,then nitampa...
Wanajamvi habari za leo.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kwa kuwapa kwa ufupi tukio lililosababisha nilete huu uzi .
Kuna rafiki yangu ni Mchungaji wa kanisa moja hivi la kipentekoste huku tunapoishi. Kwa vile kanisa lake bado ni changa hivyo sadaka hazikidhi mahitaji ya familia...
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..
2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili
3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k...
Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili.
Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine)
Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi.
Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa...
Sikutolewa gerezani kwasababu kuna mtu ananipenda, nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi sana.
========
Freeman Mbowe: Tulianza kama chama kidogo, leo ni chama kikubwa dunia inakitambua hata CCM waliokuwa hawatutambui kupitia kesi hii wametambua kwamba CHADEMA ni jeshi...
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Labda niunganishe na wale...
Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
Wakati nazunguka nilifika katika...
Mwezi December 2021 nilileta hii mada hapa kwamba natarajia kua baba, na kweli ndani ya mwezi January 2022 nikapata nafasi ya kua baba Kweli.
https://www.jamiiforums.com/threads/baba-mtarajiwa-nini-natakiwa-kufanya.1943235/page-3
Girl friend wangu alijifungua salama Salmin mtoto imara wa kiume...
Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo.
Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo.
Mmoja wa mashuhuda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.