mtu

  1. Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

    Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu. Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha . Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo. Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili. Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa...
  2. S

    Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT. Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
  3. Inamaana Tanzania nzima hakuna mtu anayeweza kuwa Senior Accountant mpaka akatafutwe India?

    Kwema wakuu Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka...
  4. Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  5. Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

    Nyuzi na maoni ninayotoa huwa yanafuatiliwa kwa karibu na huyu Extrovert sijui lengo lake ni nini isije ikawa ni mzee wa Nissan Nyeupe.
  6. Madhara 5 ya kuoa/kuolewa na mtu uliyemhurumia/uliyemwonea huruma

    Tunakutana na changamoto mbalimbali katika maisha, pia katika utafutaji wa maisha tunapitia nyakati ngumu tofauti tofauti, zipo nyakati za kuumiza mioyo yetu, zipo nyakati za aibu, nyakati za kudharaulika kutokana na hali za maisha tunayoishi wakati huo. Wapo vijana unaowaona wamefanikiwa leo...
  7. L

    Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
  8. Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

    Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi. Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama. Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo. 1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
  9. J

    Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
  10. Baada tu ya Kuisikia hii Nukuu ya Rais ya Radio One Leo, kuanzia sasa sina Lawama na Mtu nitamsubiria huyo wa Kumrithi 2030

    "Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
  11. Kuoa/kuolewa na mtu wa imani tofauti na yako kunavyoweza kuharibu uhusiano wako na Mungu

    Hili sio jambo geni kwa wengi wetu, tunaweza kuwa tumeshuhudia au tumesikia, na wachache tunaweza kuwa hatujakutana na changamoto hii au hawajaona kabisa. Kijana ambaye hajaoa/hajaolewa anaweza asijue shida atakayokutana nayo baada ya kuoa/kuolewa na mtu wa Imani tofauti na yake. Imani ni...
  12. Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively. Imekua kama jambo la kawaida kwa...
  13. Kidini Kajala ni mke wa mtu, Harmonize atamuoaje?

    Baada ya Kajala Kuachana na Majani, aliamua akaolewe, bila kupoteza wakati alikamilisha hilo na akaolewa kwa Ndoa ya kanisani kabisa. Bwana Faraji Agustino ndio Mume halali wa Kajala. Alipopata kesi na Kajala then Kajala akafanikiwa kutoka Jela, Mme wake aliendelea kusota Jela huku Kajala...
  14. J

    SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
  15. Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  16. Kila mtu anahitaji mchango wake kutambuliwa

    Habar Wana JF, Nimevutwa kuandika Uzi huu baada ya Leo asubuhi kumuaga dada wa kazi ambaye alikuwa hodari Sana katika kuwahudumia watoto wangu,kipindi chote tulicho ishi nae akifanya kazi vizur Sana na Kwa mapenzi makubwa,tunajisikia fahari juu yake. Kabla ya kuondoka nilimshukur Sana Kwa...
  17. Asikwambie mtu, Premio tamu

    Habari wakuu! Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M. Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye...
  18. I

    Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  19. Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  20. Si sawa kumpongeza Mtu kwa uzuri alionao, hana mchango wowote kwa yeye kuwa hivyo

    Sio tatizo kumpongeza Mtu alivyovaa na kupendeza, lakini ni vipi unampongeza Mtu kwa kuwa ni Mzuri au umbile lake zuri?...sio tatizo kumpongeza Mtu aliyefanya mazoezi na kutengeneza muonekano wa mwili (body building). Hivi kwa akili zetu hizi huyo tunayempongeza ana mchango gani kumfanya yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…