mtu

  1. Congo

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Daah! Ama kweli muosha huoshwa. Mcheki huyu jamaa aliyekuwa na confidence la "kufa mtu" kabaki kichwa tu

    Bado na wewe (fulani) unayepuuza sauti zetu siku za kuanguka kwako zinakaribia.
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke watu waliotupokea na kutupa njia za kuishi hapa DSM

    Kwa Mara ya kwanza nilipofika hapa Dsm nilifikia kwa Uncle wangu ni Askari yeye na mke wake. Nakumbuka nilikaa pale wiki tatu tu lakini niliziona Kama Mwaka mzima . Asikuambie Mtu yule uncle wangu ndo alinifundisha kumjua Mungu na kunipeleka Shule Hadi kufika Chuo Mungu Ampe Maisha marefu...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni wakati gani mtu anaweza kuthibisha amemfumania mpenzi wake: Kumuona anaongea na mtu? Kumkuta chumbani kwa mtu? Kukuta SMS ya mahaba?

    Kila mahusiano yanakumbana na hizi changamoto. Mtu anamkuta mtu wake anapiga stori na mtu ina kuwa ugomvi. Akimkuta chumbani kwa mtu ndio balaa kabisa. Fumanizi huwa ni kipindi gani?
  6. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa marketing

    Habari wakuu Mimi ni designer wa UI&UX za mobile Apps...sasa kuna mambo mawili ambayo yamefanya nije jukwaani kutafuta mtu wa marketing. 1) Wanunuzi wa designs zangu. Kama ambavyo producer huwa anatengeneza beat kisha msanii akiskiliza akapenda akamuuzia beat hiyo au kuingia studio kurekodi...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kwema Wakuu! Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia basi nakushauri kuwa na roho ngumu. Kama sio mtoto wako uliyemzaa basi usimpe connection ya kazi...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu huwa anaongea na Wanadamu? Je, kwanini haongei na kila mtu?

    Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu. Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu? Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
  9. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Nilivyochuniana na mke wa mtu kisa nili underperform

    Nisikuchoshe. Huyu mwanamke nilitafuta kila njia kuachana naye. Alistukiwa na mumewe na akaniambia amestukiwa, hakujua anani alert, nikajisemea ni Muda sahihi kuachana na kukimbia mbio. Siku moja nilimpiga mambo, show ilikuwa chini ya kiwango, yaani Ile ilikuwa sshow ya kichovu. Baada game...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

    Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo. Watu wenye akili wangelifanya hili kisiri Ili kutoonyesha kuwa wenye Fani yao si Mali Kitu (Watu Goi Goi) tupu ili kutomjengea Kinyongo Mzawadiwa wa...
  11. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za miamala

    Habari wakuu, Anahitajika mtu kwa ajili ya kazi za financial transatcions awe mwanamke eneo la kazi ni Dar es Salaam.
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Viongozi wa huu mtandao mnifungie account yangu kwa kipindi Cha mwaka mzima ili nifanye maombolezo.

    Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu Nimepata uchungu mkubwa Sana Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!! Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!! Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kumfikiria mtu halafu baada ya siku 2 au 3 unamuona

    Hii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
  14. cold water

    JamiiForums Tanzania WhatsApp wekeni option ya kudelete status ya mtu na sio kumute tu

    App ya whasap badilisheni mfumo wenu upande wa kuview status tunaingia mwaka mwingine very soon tunahitaji mabadiliko tumechoka kumute status ambazo hatuzipendi otherwise hadi ufute namba ya muhusika kwakweli mtandao huu sifurahii sehemu iyo tu!!!!!! Ya status.
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, mlitumia hoja gani kumpeleka mtu mwenye elimu ndogo Bungeni?

    Unapozungumzia Mbunge anabidi kuwa na sifa tofauti na hizi zilizopo za kujua kusoma na kuandika tu. Ubunge ni Kazi ya muhimu sana haiwezekani mtu mwenye Elimu ya kuunga unga apewe ubunge? Vigezo viwe: ~ Mtu msomi aliye na Degree Safi kutoka katika chuo kizuri na sio lasaba au form four au...
  16. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tulikotoka ni kuzuri, tuliko ni kuzuri zaidi, tunakokwenda kila mtu atafurahi zaidi ya leo

    MANENO MANENO YASIKUKATISHENI TAMAA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YUKO IMARA SANA Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan yuko imara, makini na aliyetayari kuwatumikia Watanzania. Shaka ameyasema hayo leo Novemba 5...
  17. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natoa 50k (elfu hamsini)

    Habari wakuu Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao. -Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola -Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light -Joseph Kusaga -Majizzo -Diamond Platnumz Haya twende kazi 50k...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulifanyiwa na mtu, kikundi cha watu au taasisi mpaka ukajiuliza hawa watu wananichukuliaje?

    Salaam wana JF, Dunia uwanja wa fujo na kila mtu anafujo zake, lakini kuna baadhi ya watu wanazidisha fujo na kuanza kuona wao ndiyo wanapaswa kuishi peke yao duniani. Hawa huwa wanajiribu kufikiri kuwa binadamu wengine walikuja duniani kwa bahati mbaya. Mtu au kundi kama hili hudiliki...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

    Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ? Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu...
Back
Top Bottom