Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,996
images (4).jpeg


Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu.

Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha .

Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo.

Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili.

Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa mashuhuri kwa kupiga push up 200 kwa vidole viwili vya mkono mmoja.


Alikuwa na uwezo wa kupiga push up 100 kwa kidole kimoja cha mkono mmoja recodi ambayo haijavunjwa na yeyote

download (32).jpeg

Bruce lee Alikuwa haraka katika mwendo na mapigo, kamera zililazimika kusetiwa kwa mwendo wa taratibu ili matendo yake yaweze kueleweka.

Aliruka kimo cha futi nane kimo ambacho sio cha kawaida.

download (33).jpeg


Alikuwa na mwili wenye nguvu sana ila hakuwa hivi
images (25).jpeg

Alikuwa hivi
images (5).jpeg

Aliweza kufanya mapigo elf tano ya kareti kwa siku na mapigo 8 kwa sekunde.
Huyu ndiye Bluce lee 1940-1973
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Kwenye muziki inategemea ni muziki wa aina gani....Michael Jackson alikuwa mfalme wa Pop music only
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom