Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 .
Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
Wakuu kwema?
Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM.
Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo.
NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA HAKIKISHA UNAFAHAMU KWELI LARAVEL NA SIO KUBAHATISHA NATAKA REAL COMPTENT NA SIO MTU WA KUBAHATISHA...
Kumekuwa na katabia fulani hivi kutoka kwa wadada daraja fulani hivi wanaoona eti hamna mwanaume anayeweza kuwapa mimba kwa njia asilia kwa sababu wao ni wazuri sana na wana hela sana.
Wadada hao hupandikizwa mbegu kutoka benki ya mbegu za kiume.
Je, ni nini usalama wa mbegu hizo kwa kizazi...
Naamini kabisa kwenye Ile orodha ya Mawaziri mizigo ya Kinana na Waziri Nape yumo.
Waziri huyu bwana naona tu ni kama zawadi kapewa, hata yeye nazani anaona kabisa hawezi.
Mambo mawili yanayomshushia heshima na kama hatakuwa makini atatoka kabisa kwenye reli.
1. Vifurushi vya mawasiliano /...
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya.
Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa msaada na faida kwa jamii nzima na kubadili taswira na mtazamo wa jamii nzima juu ya asili ya mtu...
‘KURUTI!, UHAKIKA WA VITENDO!’ kwa sauti kali ya kuamrisha mara ya kwanza naisikia ilikuwa ni jeshini. Ilipenya na kueleweka haraka kwa sababu mbili; Mosi, kile nilichokijua tangu mwanzo kuhusu uhakika, nilipenda kulitumia kiingereza ‘sure’. Lakini sababu ya pili ipo wazi ni kuogopa adhabu...
Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia.
Kwa...
• Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo
• Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako.
• Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu.
• Upo tayari kwa mabadiliko yoyote.
• Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wana JF wenzangu na watanzania wenzangu, ili chama cha CCM kiweze kushindwa katika uchaguzi mkuu wa 2025 au 2030, yanahitajika mambo matatu.
1) Kwanza: kinahitajika chama imara cha upinzani...
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi .
Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?
Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums
Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani.
Uzi tayari!
Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu!
Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha.
Matamsh yalimdharaulisha
Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa!
Halafu!
Hawa Uto mbona hawana furaha....? 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Fikiria chama kinaweza kumpa mtu kesi ya kuua. Ili ahukumiwe kifo au jela maisha.
Fikiria chama hiki kinaweza kumpa mtu kesi ya ugaidi. Kikashirikiana na polisi na mwenyekiti wa hicho chama akatoka hadharani na kukazia kwamba wana ushahidi mtuhumiwa alipanga ugaidi.
Je, hiki chama kinaweza...
Utangulizi.
Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
Msanii maarufu nchini Nigeria na mchezaji wa filamu Nollyhood amekataa kiasi cha Naira 10,000,000 sawa na shillingi 54,935,758.91 za Tanzania ili kumsapoti mwanasiasa anayefanya kampeni, mwanasiasa huyo aliona akimtumia huyo msanii kwenye kampeni atapata wanachama wengi na kura zitaongezeka, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.