kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,486
- 12,580
Kwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba ,hapa Tanzania amekosekana mzawa anayeweza kuwa Senior accountant kwenye hiyo kampuni mpaka wakaokoteze huko India?
Sheria za vibali vya ajira kwa wageni zinasemaje?