Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8.
Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi.
Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo.
Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima.
Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu?
kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya.
Hamchoki?
Hope Mungu ni Mwema kila wakati
Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja
Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but.
Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu...
Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022.
Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
Habari za Wakati Huu wakuu!!
Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila.
Je,Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye Kabila lako/ ukoo wako ukazikosa hizo Tabia??? Kama MOYO wako Umempenda mtu...
Hi there/here!!
Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.
Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.
Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo...
Dr. Bashiru anauliza, tabia yenu na mienendo yenu wakati wa Uchaguzi ikoje? Chama mnachokichagua mnakijua?
Mnaye mchagua mnamjua? Tusichague Mtu kwasababu ametupa Ubwabwa, kofia, Kanga, pesa au Tshirt. Dhana ya Uwajibikaji: Muna nafasi gani kusimamia Serikali ili iwe upande wenu? Veo vyote...
Wakuu Habari,
Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard.
Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele.
Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine.
Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo?
Ni wakati...
Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake:
Hoja ya...
CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM.
Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa wanaogopana hata wenyewe kwa wenyewe. Wasipokuwa makini lazima kutatokea jambo lisilofaa.
Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe.
Kwakweli mji huu uko...
Mungu ni mwema sana sana.
Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku wakielekea kwenye anguko lao taradadi.
I am not joking. Nilishaona kuyumba kwa mwelekeo wa chama hiko...
Siku chache baada ya kufariki nywele za mtu pamoja na kucha zake huonekana zikiwa zimeongezeka urefu.
Jambo hili huonekana mara nyingi sana, linaweza pia kuthibitika kwa kutazama masalia ya binadamu yanayoibuliwa kila kukicha.
Baada ya kufariki, sayansi inasema kuwa ukuaji wa kiumbehai kupitia...
MTU ALIYEPANDA MITI
Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini?
Muandishi: Jean Giono 1953.
Mtafsiri: Pictus Publishers ltd
Email...
Hakuna wakati mgumu anao upitia mwanadamu kama ule wakati wa kumpoteza mtu wa karibu au ndugu yake.
Wengine hudiriki hata kujikana wao wenyewe kuwa hawawezi kuishi pasipo wapendwa wao waliofariki huchukua maamuzi magumu kwa kujiua wakiamini kuwa watakutana nao katika maisha baada ya kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.