Huyu Extrovert wa JamiiForums ni mtu asiyejulikana?

Kila mtu anajiunga JF kwa interest zake, kuna yule jamaa wa kugawa LIKE kila post na kuna Extrovet na yeye ana ya kwake, wengine ni waanzisha nyuzi ndefuuu, wengine wanapenda kukomenti kila post, wengine wanapenda kukosoa kila post ili mradi tu apunguze stress zake aifurahishe nafsi yake, kuna yule mmoja kila mwanamke kampitia, yule mwingine Kasinde yeye ana mambo yake, basi raha tu
 
Huyu wa kugawa like bila shaka ni yule Bonafide genuine a.k.a kura moja, wajumbe siyo watu.
 
Back
Top Bottom