mtu

  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sugu jaribu kuwa mtu mzima

    Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
  2. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo sintosaidia mtu humu

    Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa. Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana mie Malaya sijui Hili au lile walahi naapa pm yangu sintojibu mtu akiwa na magonjwa yake ayapeleke...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Unampakiaje mkongo mke wa mtu?

    Hii sio Sawa,yaani unatafuta kabisa mkongo Kwa ajili ya kumpakia mke wa mtu? Hii sio Sawa, ni dhulma mbaya sana, ndio maana tunapata mabalaa Kisha tunatafuta mchawi. Mbaya zaidi unajisifu mbele za watu! Tena wengine wanaenda mbali na kusema wanasukuma pia tope wake za watu. Jamani jamani...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Guess mtu humu yupoje? Kitabia na lifestlye yake

    Merry Xmass, Naamanisha kila mtu anamawazo yake kuhusu mtu Fulani kajiwekea mtu Fulani ni handsome , au beautiful anakula vitu amazing na kadhalika je wewe unamuona nani wakitofuati kwako? Mie namwona Depal ni mwanadada anayejipenda katika mavazi, chakula na kadhalika hata Lenie Kelsea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

    Huwezi kuwa unasali halafu unaendelea kufanya uovu. Ni heri upumzike maana Sala yako haina faida. Nawasilisha.
  6. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeharisha anaweza kutumia soda?

    Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha." Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha anapoteza madini nw maji mengi sana. Na mara nyingi hii ndiyo hupelekea kufa, hasa kwa watoto. Kwa hiyo mtu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kujiuzulu Uboss wa Twitter ikiwa atampata mtu "Mpuuzi" wa kuchuka nafasi hiyo

    Elon Musk amesema atajiuzulu kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Twitter atakapompata mtu "Mpuuzi" anayetosha kuchukua kazi hiyo. Bilionea huyo aliahidi mapema kutii matokeo ya kura ya maoni ya Twitter ambayo ilishuhudia 57.5% ya watumiaji walipiga kura ya "ndio" kumtaka kuachia jukumu hilo. Anasema...
  9. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna cha kwako au cha mtu hadi ufanye kiwe chako au afanye kiwe chake.

    Nawasilisha Kwa utulivu na wewe usome kwa utulivu. Katika maisha yetu ya kila siku tunakutana na migogoro isiyo na msingi kisa tu jamii haina msingi wa maarifa kwenye baadhi ya mambo. Mathalani katika kuzunguka kwetu kwenye mishe za maisha tunakutana na watu wengi wengi wa jinsia tofauti wenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  12. Kifimbo Cheza

    JamiiForums Tanzania Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
  13. Munguwetu

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mathayo 15 (1- 39) Kiingiacho kinywani hakimtii mtu najisi?

    deleted
  15. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

    Habari wana jf tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

    Hellow guys, Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
  18. willpower

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

Back
Top Bottom