mtu

  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

    Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu. Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani? Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kuwa zaidi ya mtu mmoja?

    Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza. Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja? Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua viwanda vinavotoa ajira kwa Dar na Pwani?

    Jamani kama mnavojua vijana wengi hawana ajira. Kwahiyo mwenye kujua kiwanda kinachotoa ajira kwa Dar na Pwani naombeni msaada
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

    Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa. ~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni. ~ Kubwa zaidi kuwa...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika vipindi vya mafanikio ndiyo unabidi kuhakikisha hausaidii mtu ili kulinda ukwasi wako

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi. Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani. Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu. Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  10. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Why do some suicide missions fail?

    Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua? Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika? Naombeni majibu kuna utafiti nafanya hapa niandae ripoti. Natanguliza shukrani
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi na Mtu mwenye changamoto ya Afya ya akili?

    Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana furaha kwasababu mnaweza kukaa siku nzima usione anachekaa. Muda mwingi analalamika hata likitokea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana zake na kila mtu ana chake. Tusilazimishe kufanana

    Hello Hello Hivi hii kasumba ya watu kutaka wengine wafanane au wawaze kama wao, fikra na mitizamo au maoni viwe kama wao ni uzuzu wa kielimu au ni dhana ya unyani? Upekee wa kiumbaji ni pamoja itikadi, ufahamu, imani, ufuasi, kutumwa, kutumika, unafiki, uoga, etc. Imeonekana kizazi cha...
  14. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  16. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna mtu "Single" A.K.A mzab zab

    Watu humu mambooz. Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili. Ni hali tu ya kuwa hajaridhika na mtu wake anataka aongeze aone kama hiyo nayo ni vepi, sasa mtu wangu siyo poa maisha...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotapeliwa na wakushi ambao hutumia uchawi/mazingombwe ya kumtemesha mtu nywele na kucha

    wanakupumbaza akili kwa madawa ya kienyeji ama technique wazijuazo wao na kukufanyia mazingaombwe ya kukutemesha kucha au nywele, huwa wanakua wawili mmoja anajifanya anauliza sehemu mwengine anajifanya mpita njia. Mkasa wangu niliwahi kumsimulia mtu moja tu wa karibu sana, wengine huwa...
  18. Dezoizo52

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

    Hi gentlemen! Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off? Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani. Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu. Tusaidiane kwenye...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa ni Mtu kazi au bahati tu?

    Na Charles William Innocent Bashungwa amekua waziri katika wizara nyingi sana ndani ya muda mfupi, kutoka 2018 - 2022 amekua waziri katika wizara 6 tofauti. 2018 Rais Magufuli alianza kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Kilimo, mwaka 2019 akamteua kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, kisha 2020...
Back
Top Bottom