Pole DC Machali ila unapaswa uelewe Bukoba mji wa wabishi kila mtu mwanasheria, wanapikia hata kwenye lami hakuna wa kuwagusa

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Hakuna DC aliyewahi kuja Bukoba mwenye ujasiri na uthubutu kama Moses Machali. Kafanya mambo magumu bila kuogopa mtu, ametouch hata untouchable wa mji wakatikisika japo wamemsagia kunguni kwa Mama mpaka baasi, nawachosubiri nikuona Machali anatolewa Bukoba wafanye sherehe.

Kwakweli mji huu uko nyuma kimaendeleo ila factor kuu ni wao wenyewe unshomile wao wa kijinga.
Cheki video hapo wanapikia kwenye barabara ya lami, mamlaka zote zimegota, siasa chafu ndio mtaji wa Bukoba.
 

Attachments

  • VID_20221122_120855.mp4
    53.8 MB
  • VID_20221122_120933.mp4
    47 MB
Mkuu, kweli MB 58 kwa uchumi huu? Bora utuoe tu summary ya hzo video
 
Back
Top Bottom