mtu

  1. JamiiForums Tanzania Nyangumi anaweza kummeza mtu aliye hai?

    Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii! Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...
  2. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu za kumfanya mtoto wako awe mtu bora zipo kwako

    Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio hilo bali ni kuwatengenezea msingi mzuri wa Maisha hapo mbeleni hata tukiwa hatupo karibu yao. Ingawa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  5. JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

    Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo Mawasiliano 0757279834 0657888494 whatsap dgtafrica@gmail.com
  7. JamiiForums Tanzania Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

    Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ. Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  10. JamiiForums Tanzania Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  11. JamiiForums Tanzania Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  12. JamiiForums Tanzania Kutokana na ugumu wa maisha, kila mtu anatafuta kibonde wake wa kumuangushia zigo la lawama

    Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini! Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

    Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane. Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Nasikia kumbe ukiwa Mtu wa CIA, MOSSAD na FSB unaongezewa 'Senses' zingine Mbili ili uwe Hatari Kiujasusi / Kinjagu je, ni zipi hizo?

    Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka. Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
  17. JamiiForums Tanzania Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee! Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

    HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
  19. JamiiForums Tanzania Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya. Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
  20. JamiiForums Tanzania Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache

    Hapa Afrika, suala la kujiuzulu na kuachia madaraka ni msamiati ambao hukumbatiwa na wachache sana kwasababu kwa muktadha wa Afrika; cheo ni ulaji, cheo ni mamlaka, cheo ni biashara, cheo ni fimbo Kwa washindani, cheo ni "connection" ya mambo mbalimbali. Nashangaa kuona mnajiuzulu pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…