mtu

  1. CHIBA One

    JamiiForums Tanzania Nikisafiri kwenda sehemu sipendi kufikia kwa Mtu

    Hili jambo kwa kweli labda naweza nikaonekana nna roho mbaya au Ant-Social, ila kiuhalisia katika utu uzima wangu huu, kama ikitokea safari fulani nahitaji kwenda sehemu kwa siku mbili tatu...sipendi kufikia kwa rafiki au ndugu, lakini naweza kuwapa taarifa kwamba ntafika Mkoani kwao na tunaweza...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Huu ni mti gan?

    Habari za jioni, Naomba kujua huo kwenye picha ni mti gani?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini! Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Usimuuzie wala kumgawia mtu kadi yako ya kupigia kura

    Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi Mkuu miongoni mwa mambo niliyosikia kutoka kwa baadhi ya watu ni kuwa wameuza kadi zao za kupigia kura kwa koasi cha 5000 mpaka 15000. Mmoja wa aliyekuwa akinisimulia alidai kuwa wakipita watu mitaani wakiwashawishi wauziwe kadi za kupigia kura. Kutokana na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Unakubaliana na Kaduguda kwamba kila simba akicheza na simba lazima mtu afe? Nini tufanye tusife?

    Mzee Kaduguda amehojiwa na kueleza kwamba kila Simba na Yanga wakicheza lazima tukio la kifo kinachotokana na mechi hiyo litokee Kama ndivyo na sisi ni mashabiki wa timu hizi na ukifa ndio umekufa na atutaweza kushangilia mpira tukifa! Nini tufanye sisi mashabiki tusife kwa sababu ya Simba na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

    Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa mgawanyo gani, usiingie kwenye ndoa kimya kimya ukiwa na silent expectations 2.Mitindo ya malezi, maana...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna MTU mfupi ila tatizo ni lishe.

    Hawa wataalamu wa siku hizi wanafikirisha.
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera

    Profesa Lipumba: Siasa zetu ni za kumuunga mkono mtu na siyo sera
  9. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Haya majenereta yanaweza kutoa na kupeleka maji umbali gani?

    Jamani nimeambatanisha picha za maelezo ya generator mbili za kuvuta na kusukuma maji .Naomba mtaalamu aniambie generator hizi Kila Moja inaweza kuvuta maki kutoka vhanzo kwa umbali Gani na kutupa majo Kwa umbali Gani?na kiwango cha maji yakusukumwa kwa dakika ni kiasi gani?
  11. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    WanaJF tiririkeni Love at the first sight 😍😍😍😍
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usipojitoa utumwani basi huyu mtu atakutesa sana

    Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔 Je, upo kwenye mahusiano na mtu huyo? VIASHIRIA KUWA UPO KWENYE HUO UTUMWA. 1. Uko radhi ulale njaa ila yeye ashibe 2. Uko...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  15. Execute

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempenda mtu kwa kumaanisha na wazo la kuoa limekuja

    Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi. Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati. Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika. Macron amesema "Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili...
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

    Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake. Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Harakati hazitaki mtu anayeongozwa kwa mihemko

    HARAKATI HAZITAKI MTU ANAYEONGOZWA KWA MIHEMKO. 1.Mtu ambaye akiambiwa biashara fulani inalipa anaikurupukia. 2.Ambaye akiambiwa alisemwa vibaya muda huo huo anawafuata wahusika. 3.Mtu ambaye akiambiwa kasalitiwa muda huo huo anawasha moto. 4.Mtu ambaye anataka kufanya kila kinachosifiwa sana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Je Kindamba ni mtu sahihi UDART? Ana exposure yoyote kuhusu sekta ya usafirishaji?

    Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la mawaziri lililokaa wiki hii na kumpitisha lilijishauri vyema au lilitumia influence ya kiongozi mkuu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

    Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai. Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
Back
Top Bottom