mtu

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

    CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa. Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni...
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Tuishi kwa kusaidiana kila mtu ana umuhimu katika maishani yetu

    Tusaidiane ingali tukiwa hai, msaada unaokuja kusaidia mazishi una maana lakini ungekua na maana zaidi kama ungekuja wakati wa kuuguza.
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

    Kwa matumizi yetu ya kawaida ya nyumba ya kawaida. Mtu ataingia gharama kiasi gani akitaka kutumia umeme wa sola tu? Anahitaji installation ya Kw ngapi. Labda anatumia panels za watts 500. Atahitaji ngapi na zitamgharimu kiasi gani? Vipi kuhusu betri na mambo mengineyo?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  7. Glenn

    JamiiForums Tanzania Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

    Hello wakuu sana; Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu. Ndani ya bag kulikuwa na ; -Suruali 3 za jeans -Raba za nike pair 2 -shati 2 na nk -kadi 4 za bank tofauti -kadi ya gari -leseni ya udereva -kadi ya gari -××pasi ya kusafiria -cheki ya bank nk. -...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  9. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

    Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  11. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni lazima kumchangia mtu send-off ama harusi?

    Habari jamani, mnaendeleaje? Hebu acha niende moja kwa moja kwenye hoja. Iko hivi, miezi kama miwili au mitatu katika kupiga stori za hapa na pale one of my colleagues (KE) akaniambia unajua fulani anaolewa na fulani (wote wanafanya kazi pamoja)? Nilifurahi kwa mshangao maana sikuwahi kujua...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawajui hili

    Ukioa mke wako amekuwa mtu wako wa karibu, msaidizi pale unahitaji. Ila mchepuko sio mtu wako msaidizi. Ila asilimia 95 wanaume wanajua mchepuko wake ndio anafaa kutunzwa na kupendwa. Tuanze na nyumba, mke huakikisha nyumba yote safi masaa yote.. kuanzia sakafu, mapazia, kapeti na kila kitu...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Unafiki SIO TUSI, ni tabia. Mtu akikuita mnafiki hajakutukana ameeleza tabia.

    Alauakibaru
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ukimchukia na kutomsamehe mtu muathilika ni wewe zaidi ya huyo unayemchukia.

    1: Mungu anakuhesabu wewe umeshamuua huyo mtu tayari. Kila amchukiaye ndugu yake ni muuaji. 1 Yohana 3:15 2: Chuki ni nishati (energy) hasi. Itaathili ubongo wako na mwili na itakuwa kivutio cha magonjwa yasiyoabukiza. 3: Chuki na hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu. Na mbumbavu ni mtu anayesema...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  17. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

    Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu Majukumu yake ni kama yafuatayo Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa)...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua

    Habarini... Naomba kuuliza ni dawa gani ya kiasili ya kuchua kwa mtu aliyepata mpasuko (fracture)kwenye mbavu. Nawasilisha.
  19. vnn

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mashabiki wa Simba amkeni Mapema ZAMALEK Alianza hivihivi Ila leo kila Mtu anajipigia tu

    Habari wanajukwaa! Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu. Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9...
Back
Top Bottom