Kutokana na ugumu wa maisha, kila mtu anatafuta kibonde wake wa kumuangushia zigo la lawama

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
4,167
11,490
Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini!

Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna upendo kumbe ni kuviziana na kumtanguliza RIP abaki na mali au akufanye zezeta ale bata mali ulizoangaikia! AKILI KICHWANI MWANAWANI!
 
Doh......iyo ya mwisho ni hatari, watu wanaroga san
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom