mtoto wa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoto wa Mwigulu aanza siasa za majukwaani, awaomba wana Iramba kumuamini Baba yake

    Huyu hapa
  3. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume jikaze, acha kulegea, mtoto wa kiume halii! Tusipobadilika tutawapoteza!

    Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Siku niliyokutana na mtoto wa Kinyarwanda

    Wakuu, mjuavyo tena; mahusiano ndio yanayofanya dunia iwe sehemu sahihi na tulivu kwa kuishi. Mjuavyo tena, sisi tunaopataga maji ya 'gold' huwa ni vigumu kunyimana kwenye mahusiano. Kama pisi kali ikikuelewa, inakuelewa kweli. Ndio maana waswahili wanasema, kwenye kinywaji cha rangi ya 'gold'...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  6. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Walimu kupiga watoto mpaka kuua! ipo siku atauliwa mtoto wa kiongozi ndipo tutaamka

    Hii tabia imekithiri sana ya kupiga watoto kwa mangumi, mateke, na mbaya zaidi kupiga watoto mgongoni ambako ndiko kuna uti wa mgongo! Tabia ya kuficha na kutoa taarifa za uongo kumkandamiza aliyeuliwa na kukosesha haki ndiko kunafanya walimu waendelee na tabia hii mbaya kabisa! Halafu kuna...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mwijaku na mtoto wa Tajiri

  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

    Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi.. Moral of the story: Vijana tafuteni...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Umetuma nauli baada ya dakika tano akwambie hawezi kuja mtoto wa dada ake amemeza sh. 50

    Kuna wanawake wabaya sana aisehh .
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

    Kwa huyu nitatoa ng'ombe 100. Na nipo tayari kwenda kujitambulisha kwao. Nipeni mbinu wakuu
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

    Na mwandishi wetu Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari. Uamuzi huo wa mahakama...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Simulizi mtoto wa miaka 10 alivyobakwa na jirani

    Tarime. Ni unyama, ndiyo unavyoweza kutafsiri alichofanyiwa mtoto mwenye miaka 10, mwanafunzi wa darasa la saba. Amebakwa mara nne kwa nyakati tofauti na jirani yao, mwanamume mwenye miaka 40. Mwanafunzi huyo, mkazi wa Kijiji cha Sanganga, Kata ya Pemba wilayani Tarime, anadaiwa kutendewa...
  16. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa. Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere alalamika Bajeti finyu Wizara ya Ndani

    Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Madaraka Nyerere amelalamikia ufinyu wa bajeti uliopo wizara ya mambo ya ndani. Nini maoni yako? Written By Mjanja1
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimenasa kwa mtoto wa Kondoa sifurukuti

    Kazi zangu za tofar zimenikutanisha na mtoto wa kirangi mama ntilie. Huyu mtoto nashindwa kutambua ameniroga au ni michezo brand new anayonipa, sisikii. nikiwa naye simu naweka mbali naiona disturbance mtoto mtukutu kama wacheza rugby hakubali kushindwa. mimi ndio nafundishwa mapenzi. Ubedui...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Messi ni hatari kwenye Kandanda

    Waswahili wanasema "Mtoto wa Nyoka ni Nyoka" angalia hapa Mtoto wa mwanasoka Messi anavyolisakata kabumbu. Mateo Messi amedhihirisha kuwa Baba yake amemkuza kuja kuwa Mchezaji bora mbeleni.
Back
Top Bottom