Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,191
10,926
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.

Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu.

Maumivu kutokana na habari za kifo cha mtoto wake huko Gaza waziri Gadi alizipata akiwa kwenye chumba cha kuongozea vita huko Israel.

Taarifa za kuongezeka kwa vifo vya maafisa wa juu wa jeshi la IDF zinakuja wakati ambapo jeshi hilo limetoa indhari kuwa vita vimekuwa vikali zaidi mara baada ya kumalizika usitishaji wa muda mfupi uliofanyika mwishoni mwa mwezi ulipitata mwezi uliopita.

Malalamiko hayo ya Israel yanakwenda sambamba na ahadi ya ushindi iliyotolewa na kiongozi wa Hamas hapo tarehe 6 kuadhimisha miezi miwili ya vita na sambamba na Marekani kulalamika juu ya kushambuliwa kwa kambi zake za jeshi nchini Iraq na Syria.

Kutokana na kile anachokiona katibu mkuu wa UN ametumia rungu lake la kanuni ya 99 ya jumuiya hiyo kutoa tahadhari kuwa vita vya Gaz bila kusitishwa haraka kuna uwezekano mkubwa kuwa vita eneo lote la mashariki ya kati.

1702008877557.png


Yahoo News
 
Ukisikia mtoto wa waziri katangazwa kufa basi ujue kuruka wameshakufa mara 10 zaidi.
Jana waliondolewa zaidi ya 200 shimoni, twitter worriors mnabadilisha kwamba Hamas hawapo hao ni civillians, soon baada ya Israel kuutangazia dunia kifo cha mtoto wa waziri mmeibuka tena Hamas hao, hivi kat yenu na Israel tumuelewe nani???
 
Jana waliondolewa zaidi ya 200 shimoni, twitter worriors mnabadilisha kwamba Hamas hawapo hao ni civillians, soon baada ya Israel kuutangazia dunia kifo cha mtoto wa waziri mmeibuka tena Hamas hao, hivi kat yenu na Israel tumuelewe nani???
MPumbavu sana wewe ,
Hao wapiganaji 200 wa Hamas ni wewe zezeta ndio uliwatoa shimoni ?
 
Hahaha vita vinapiganwa Gaza wewe unalalamika huku wewe na nani hamuelewi?
Tusikilizie mchongo, atakayesema "Yalaa" ndio kaumia.

Naona sasa hivi kuna mtu analilia chooni kwa sababu ya Umri na Ubabe wake baada ya kupigwa na mtoto kisha akija public anasema "Sawa ile ngumi amenipiga, lakini mimi pia nimempiga Refa"

Kiukweli sijui lolote kuhusu hii vita.


Na wala sizingatii sababu za ugomvi huu, ila atakayepigwa tutamuona. Wakipatana ni kheri zaidi.
 
Hahaha vita vinapiganwa Gaza wewe unalalamika huku wewe na nani hamuelewi?😂
Anayelalamika kati yako na mimi ni nani? Au hujitambuhi kabisa kijana, mimi uliniona wapi ninaangaika na ujinga wa magaidi ya kiislamu mimi?
Wewe kila siku humu jamii forum matako yako hayatulii mara gaza, mara hamas, mara houth, mara iran, mara hisbullah, nk, umechanganyikiwa wakati uko tu dongobesh hapo.
 
Huyo ni mwenzako wote bwana yenu mmoja umechangayikiwa kiasi mnaanza kubishana wenyewe kwa wenyewe.
Mm na ugaidi wapi wapi au unamanisha ustaadh alwaz, ritz, malaria 2, faizafoxy🤣🤣🤣🤣 eb kuwa specific bwana, mm siwezi valishwa chupi ya bomu kama hao watu
 
Back
Top Bottom