nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Kulikuwa na mama mmoja Arusha aliyezaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983. Kama wafahamu tujuze tafadhali.