Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Mwanamke kama alikuwa kahaba au jamvi la wageni lazma mwanaume atamkataa mtoto maana lazma anaweza kuwa siyo wake, kumkimbia mwanaume akifilisika ni UJAMBAZI na USALITI, matokeo yake ni mauwaji ya kinachoitwa wivu wa mapenzi.
Kwaiyo wanawake wote waliokataliwa watoto duniani walikua malaya eh?
So kumkataa mtoto wako sio ujambazi na sio usaliti?
 
Lawama zote ziende kwa yule boss wako aisee,, maana mental illness aliyokuacha nayo sio ya nchi hii
Natofautiana na wewe.

Leejay49 mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.

Kuna wakati mwanamke anaringia muonekano wake, tako, sura lkn mwanaume hutafuta full package...ni pamoja na tabia na moyo safi na akili.

Yule boss aliona mbali sana akaona atateseka
 
Back
Top Bottom