mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

    Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao? --- Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana. Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kifo nikiwa mtoto zaidi ya mara 3

    Habari zenu, Ndugu zangu kwenye ukuaji tunapitia hatua mbalimbali za maisha, kipindi nikiwa mdogo nishanusurika kifo zaidi ya mara 3, kusema kweli nilikuwa mtundu sana nisiyesikia chochote,na michezo yangu ilikuwa hatari sana,tena ya kutosha. Naanza kama hivi. Mara ya kwanza. Kipindi nikiwa na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Anajuta kuwa mtoto wa waziri!

    Wana Jami forums naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne. Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima. Nimekutana naye ugaibuni kwenye jiji maarufu, NY. Huyu baba Nimekutana naye kwenye Hari ya kusikitisha. Mimi huwa ni mtu...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa na polisi kwa kubaka na kulawiti watoto 2

    Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamshikilia Mtoto mwenye umri wa miaka 14 ambaye ni Mkulima na Mkazi wa Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kubaka na kulawiti Watoto wawili ambao ni ndugu (watoto wa dada yake) ambao alikuwa anaachwa nao nyumbani...
  8. cold water

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malezi ya mtoto baada ya kuachana yana changamoto zake

    Heloe JF, Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na ndugu zake upande wa kiume. Sasa karibu shule zinafungwa nazani baba ake atamchukua kwaajili ya...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukikutana na mtoto kwenye barabara isiyo na watu kama hivi?

    Utachukua hatua gani hili likikutokea?
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 10 kwa kumtupa Mtoto shimoni na kumuua ili asafiri kwenda Uarabuni

    Mahakama Kuu ya Mombasa imetoa hukumu hiyo dhidi ya Happy Mwenda Mumba baada ya kumkuta na hatia ya kumtupa Mtoto wake mwenye umeri wa mwaka mmoja kwenye shimo ili asipate kikwazo wakati wa kusafiri. Akisoma hukumu hiyo Jaji Anne Ong'injo amesema mshtakiwa anapaswa kuadhibiwa sio tu kwa lengo...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto aliyeandika post hii aambiwe akae asome kwa bidii

    Hawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya...
  14. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada kupiga show na mtoto wa kike ni ishara gani utaona ujue kweli umemfikisha kunakotakiwa

    Mara nyingi tunakutana na watoto wa kike majumbani mwetu au hata katika nyumba za kulala wageni hivi utajuaje kweli umemfikisha inavotakiwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  16. Moronight walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini utafanya mke wako akimpa jina la ex wake mtoto wenu?

    Habari wa JF. Hiki kisa ni cha kweli kilitokea huko Ulaya au USA nafikili. Walikuwa mke na mume na mtoto wao wa kiume. Siku moja walitoa kwenda shopping yeye na mkewe. Walipofika wakakutana na rafiki ya mke wake, mke wake akamwambia rafiki yake kuwa nina mtoto wa kiume, rafiki nae akamuuliza...
  17. Moronight walker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Habari wa jf. Kuna rafiki yangu mmoja alioa mwanamke mwenye mtoto tena mapacha ni wakike tupu. Ila wao wanakaa kwa Baba yao na Baba yao ashaoa na amezaa watoto 3 na mke wake huyo mwingine 1 alizaa na mchepuko ni mdogo, Kwa hio mwamba anawatito 6 home kwake. Huyu rafiki yangu yeye anawatoto 2...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuwe wazi, kupata mtoto mwenye ulemavu au magonjwa ya kuwa tegemezi maisha yake yote ni zawadi kutoka kwa Mungu?

    Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae: Haoni na hasikii Hajitambui Utindio wa ubongo Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
  19. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Shida ya mtoto kutopenda kula kwa hiari yake

    Habari zenu wana jamvi!! Moja kwa moja kama mada inavyojieleza, kuna mtoto wa miaka miwili hivi sasa ila bado chakula kwake ni kama anapigana vita hadi akabwe na mama yake ndo anyweshwe uji ila chakula hata akilishwa ni kulia na hatokimeza. Nini suluhu ya hili jambo? Msaada wenu please.
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Shahidi Kesi ya Askari kumjeruhi Mtoto: Majeraha aliyokuwa nayo Mtoto yalitokana na kupigwa

    Kesi Namba 59 jinai, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 imeendelea tena Oktoba 12, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa...
Back
Top Bottom