mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  2. JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

    Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua? Sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

    Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane! Kosa linakuwa wapi kununua mtandaoni?

    Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni. Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…