mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Serikali ingekuwa huundwa Mtandaoni, basi Mpaka sasa Tanzania ipo Mikononi mwa wanaCHADEMA

    Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika! CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania. Actually, Naweza...
  2. Tripo9

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jamani ku download kitabu kinachouzwa mtandaoni lakini mi niki download kwa free

    Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian) Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!! Asante sana 🙏🙏
  3. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Jarida la Mtandaoni la Wizara ya Afya (Toleo la 2): Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni

    Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi ninaweza ku order prescription drug mtandaoni kutoka nje na nikaipokea kwa njia ya posta au ninahitaji kibari?

    Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine maana tunatest tu system ya kudeliver dawa tz kama zitafika salama.
  5. General Mangi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  6. Sema Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malezi ~ Hizi hapa hatari tano anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni

    Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni na namna bora ya kukabiliana nazo ili kupafanya mtandaoni mahali salama kwa mwanao. Maudhui...
  7. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata (kudownload) katiba mtandaoni

    Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated? Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru. Naomba kuwasilisha.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

    Habari wakuu, Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua? Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC yazuia watendaji wake kuandika mirengo yao ya kisiasa mtandaoni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, Tim Davie amewazuia watumishi wa ashirika hilo kuandika mambo ya kisiasa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha mrengo wao wa kisiasa Kuandika maoni au kuwa kama mpiga kamepeni wa chama fulani kwenye mitandao ya kijamii ni chaguo zuri...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nahisi hii ni moja ya sababu ya sisi vijana kulalamika kuhusu ugumu wa maisha humu mtandaoni

    Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi. Vijana wengi tumeishi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Umekufa? Upinzani Umebaki mtandaoni, hali halisi ni ipi?

    Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti.
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Mama atumia picha ya binti yake kuwasiliana na wanaume mtandaoni

    Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha. Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze na uzijue nyayo za kidigitali, tambua namna ya kuzidhibiti uwapo mtandaoni

    Nyayo za Kidigitali au Digital Footprint hizi ni taarifa za kipekee zinazokusanywa kutoka kwa mtumiaji wa Mtandao anapofanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao, anapofanya mawasiliano, miamala katika vifaa au majukwaa ya mtandaoni Taarifa hizi zinaweza kutumika kufuatilia vitu anavyofanya na...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha halisi ya mtaani na ya mtandaoni, tunakuja mitandaoni kujipooza tu, Mtandaoni hakuna masikini, usiyumbishwe

    Inabidi sasa tukubaliane na uhalisia, kwa sababu ndio ukweli uliopo sasa hivi ya kwamba tunaishi katika kizazi ambacho watu wana maisha ya aina 2. Kuna maisha halisi ya mtaani na maisha ya mtandaoni. - Unaweza kuwa mtu wa kawaida sana mtaani ila huku mitandaoni unaheshimika - Unaweza kuwa huna...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya matokeo, Nyalandu azushiwa mtandaoni kutaka kuhamia ACT-Wazaleno. Mwenyewe akana, na zaidi kampongeza Lissu

    FAKE FAKE FAKE!!! Haya sio maneno yangu na hiyo ni account FAKE! Imeandikwa, Usimshuhudie jirani yako uongo-Lazaro Nyalandu on twitter Ampongeza Lissu: PONGEZI SANA kaka Mh.Tundu Lissu kwa USHINDI wa KISHINDO ulioupata BARAZA KUU CHADEMA kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Chetu. Nakupongeza kwa...
  16. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kanuni Mpya za Maudhui ya Mtandaoni 2020, Marufuku ya Maudhui yaongezeka

    Julai 17, 2020, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilichapisha mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni kwenye gazeti la Serikali kupitia gazeti Na.29 Toleo la 101. Mabadiliko hayo ambayo yalitolewa kupitia notisi Na. 538 yanabadilisha baadhi ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018 na...
  17. n00b

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Wenye 'channel' na tovuti za dini nao kusajiliwa

    Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni. Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
  18. Kijana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua Fluke 15b+ mtandaoni

    Habari za humu, Naaaam kijana kama kijana yani Mimi kama Mimi nahitaji kununua bidhaa hii Kwa njia ya mtandao je kipi chakuzingatia
  19. J

    JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kutengeneza pesa mtandaoni bila mtaji

    Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu. Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi...
  20. jastertz

    JamiiForums Tanzania Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?

    Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa? Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field. Kama una uwezo au ujuzi katika Mambo haya uwanja ni wako. Cha msingi ni kujiboresha na kutafuta connection kubwa ya watu...
Back
Top Bottom