mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Nini kimepelekea Panya Mjanja wa Mtandaoni Kiboko ya Paka Mbishi wa Magogoni kutoweka ghafla?

    Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

    Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
  3. Nafaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SEO writing, kazi inayolipa sana mtandaoni

    Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna tovuti zinatokea page ya kwanza na nyingine page za huko mbele? Ni wazi kuwa watu wengi husoma majibu...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan akamatwa na Polisi, anahojiwa na Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni

    Mchekeshaji huyo mwenye miaka 27 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni Anashikiliwa baada ya kuwasili Kituoni hapo kufuatia wito wa Polisi na inadaiwa atahamishiwa Polisi Makao Makuu Oktoba 2019, alikamatwa kwa kuhariri...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Athari za kuweka picha za watoto wako mtandaoni

    Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya kijamii ilitumika kumlaghai mwanamke mmoja huko Uingereza akatoa fedha zake nyingi na kuibiwa. Bloga mmoja alikuta picha ya familia yake inatumiwa kwenye tangazo...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwandishi wa Habari, Albert Sengo Kizimbani akishtakiwa kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni

    Mwandishi wa habari, Ndg. Albert Sengo leo Aprili 23, 2020 amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza na kushtakiwa kwa kosa la kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na Kanuni ya 14(1, 2) na 18: Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui Mtandaoni) za...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameshikiwa akili na washauri wa mitandaoni?

    Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

    Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo? Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu. Je,ni hivi hivi tu? Upendo huu umeanza lini? Hii hawezi kuwa ni damage control?
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Jinsi wahalifu wa mtandaoni wanavyoongeza hofu katika jamii

    Wataalamu wa masuala ya usalama wamesema kuwa, mlipuko wa virusi vya corona umefanya wahalifu wa mtandaoni kutumia mwanya huu kutapeli watu pia. Wahalifu wa mtandaoni wanawalenga watu binafsi pamoja na sekta mbalimbali kama usafiri, utalii,afya ,elimu, bima na shughuli nyingine. Barua pepe za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha nilizokuwa nikitunza kama akiba kwenye account yangu ya simu. Yaani unaamka tu asubuhi unataka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

    Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua? Sababu...
  14. Mwinjilist mtume nabii

    JamiiForums Tanzania Kumpiga mtu picha akiwa eneo la kazi na kuzituma mtandaoni; taratibu za kisheria zinasemaje?

    Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane! Kosa linakuwa wapi kununua mtandaoni?

    Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni. Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
Back
Top Bottom