mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini unapokutana na Mtu uliyefahamiana naye mtandaoni

    Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake kwako. Ikiwa ni lazima kukutana naye, fanya utafiti kuhusu mtu huyo ili ufahamu ukweli wake...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  3. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Maudhui mtandaoni ni nini?

    Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA). Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk. Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Mtandaoni kwa kisingizio cha mapenzi

    Matapeli huko mtandaoni hutengeneza wasifu bandia kwenye tovuti halali za kutafuta wachumba. Wanatumia profaili hizi kujaribu kuingia kwenye uhusiano na mtu ili waweze kupata pesa zake na maelezo binafsi. Tapeli atakuwa na uhusiano mzuri na mtu huyo wakishazoeana ataanza kuombe pesa ili...
  5. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Hatma ya biashara za mtandaoni kwa Mtanzania

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda. Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vidokezo vitano vya kufuata ikiwa unaamua kutafuta mpenzi mtandaoni

    Unapoanza kuwa na hisia na mtu, kumbuka kwamba ikiwa hamjawahi kuonana ana kwa ana, hisia hizo sio halali. Kwa kuwa akili yako haina habari na taswira halisi kuhusu mtu huyo, kama ambavyo ungekuwa kama mngeonana ana kwa ana. Usijihusishe tu katika mahusiano ya kimtandao. Ni sawa kuanza kumjua...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaofanya biashara mtandaoni waanza kutozwa ushuru

    Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali. Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi njia isiyo na fedheha ya kutongoza mwanamke mtandaoni ambaye hamjawahi onana?

    Mahusiano Ni kitu kizuri Mapenzi Ni kitu kizuri na Urafiki ni kitu kizuri. Sio mbaya kwa kijana kujipatia mahusiano,mpenzi au rafiki hapa JF au mitandao mingine kama JF isiyo ya kujiuza. Kwa mfano mtu anaweza kupata mchumba na baadae mke hapahapa JF. Kwani Kuna ubaya jamani? Nahisi Me na Ke...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

    Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa. Faida nilizozipata ni hizi: 1. Muda wa kufanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
  12. Badmantebwe

    JamiiForums Tanzania Sehemu nne za kunasa wateja mtandaoni 2021

    Hii ni kwa wafanyabiashara,wamiliki wa blogs na wamiliki wa mitandao(tovuti) makala hii inakupa vyanzo vinne vya kupata watembeleaji na wateja mtandaoni na mbinu za kunasa watembeleaji kutoka vyanzo husikia. Vyanzo vyenyewe ni kama vifuatavyo 1. Google search 2. Facebook 3. Youtube 4...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Picha zinazofundisha kutoka Mtandaoni

    Nikiwa katika mitandao ya kijamii nikakutana na Educational Instagram page ambapo nimeona picha/post kadhaa zinazofundisha na nimeona sio mbaya nikazi-share hapa. Source: @naismeal
  14. Iwensanto

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
  15. Kelela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya Maudhui ya Mtandaoni TCRA

    Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza? Maana leseni kwa mwaka ni Tsh 500,000 - 1,000,000
  16. Turnkey

    JamiiForums Tanzania Tuchague kwa busara, Mbwa watulinde au tuwalinde mbwa?

    Anaandika Askofu Bagonza Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe. Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini ili aione hatari iliyopo. Asipobweka, mwenye nyumba huamka kumwangalia mbwa kwa nini habweki. Kwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

    1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako? 2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa? 3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au...
  18. winnerian

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  19. Mtini

    JamiiForums Tanzania GE2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

  20. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kabla ya kutuma picha yako ya faragha mtandaoni

    Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
Back
Top Bottom