Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habarini za asubuhi wanajamvi,
Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda.
Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo. Tuseme niamue kufanya haya:
Niliwahi kusikia kuwa mbongo haruhusiwi kuwa na account ya benki nje ya Tanzania. Paypal na Payoneer je?
Ningependa kujua mipaka ya sheria katika kazi zangu kama mjasiriamali wa mtandaoni.
Wataalam karibuni mtushauri.

- Kufungua website yangu, ambatz.com
- Kuweka blog pale kwa ajili ya kuwapa watu elimu kuhusu huduma ninayotoa.
- kufungua account ya paypal, payoneer na skrill kwa ajili ya kupokea malipo