mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

    Wakuu habari, Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari, Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria, Inawezekana kuna watu...
  2. Tyler Durden

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jifunze haya mtandaoni uweze kujiajiri na kuajiri

    Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa elimu ya juu na kati wapo mitaani wakiwa hawajui nini hatima yao. Viongozi walioshika mpini katika...
  3. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TCRA yazindua mfumo ulioboreshwa wa utoaji wa leseni mtandaoni

    TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI. Leo 31 Julai,2021. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya Mtandao. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Deni la mkopo la HESLB kwangu halipungui nikangalia mtandaoni licha kukatwa na kuoneshwa zimelipwa

    Nilitunza kumbukumbu za deni la mkopo wa wanafunzi elimu juu HESLB lililobaki hadi mwezi Juni 2021 la mtandaoni ili nije nilinganishe na la mwezi unaofuata nione kama linapungua nimebaini halipungui sijui shida iko wapi? Hali ikoje kwako mkuu, mbona sasa nashindwa kuamini hata taarifa za...
  6. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ajira za Uhakika zinazoweza kukulipa Mtandaoni

    Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri. Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanzisha duka mtandaoni

    Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aendesha mkutano ulioshirikisha zaidi ya watu elfu sita mtandaoni

    Juzi kwenye mjadala wa Kodi tulikutanika watu zaidi ya elfu 2 bila kuomba kibali cha polisi na tukajadiliana kwa amani nakuwafungua masikio na macho Wana CCM na wasio Wana CCM Leo idadi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu elfu 6 kitu ambacho ni nadra sana kufanya na hata Marais wa Nchi...
  9. Research Solutions TZ

    JamiiForums Tanzania Bunge livunjwe, Wananchi tutasema wenyewe mtandaoni

    Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na ongezeko la bei za vifurushi ambapo ni kelele za wananchi katika mitandao zilizofanya zile bei zishuke...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ya Jamii

    MADA: MAENDELEO YA JAMII Kwanza kabisa tunapozungumzia maendeleo kwa upana wake zaidi ni like kitendo Cha kuinuka au kuhama kutoka hatua moja kwenda hatua inayofuata au kutoka hatua mbovu kwenda hatua Bora zaidi katika nyanja mbalimbali za kimaisha ya kibinafsi au ya kijamii. Na jamii ni ule...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kujiajiri kwa kufundisha mtandaoni

    Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza...
  12. safuher

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wanafanikiwa kwa sababu wanawaza "endapo kitatokea"sisi tunafeli kwa kuwaza "hakitatokea"

    Waswahili ama waafrika tuna ujinga wa kuwaza "hakuna kitakachotokea" ndio maana mambo mengi tunafeli. Wakati wenzetu walioendelea wanawaza kwamba "kitatokea kitu". Mswahili haoni shida kuendesha gari hajafunga mkanda hawazi kabisa kwamba endapo ikitokea ajali bila kufunga mkanda naweza...
  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi kuhusu mitandao ya kijamii na watumiaji wake

    UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi. Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kuripoti utapeli Halotel

    Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli. Piga *148*90# kisha chagua lugha. Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli: Msamaha wa Metacha Mnata 'Mtandaoni' Klabu ya Yanga hatuutambui kabisa

    " Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo Sisi kama Klabu tutaendelea na Kikao chetu cha Nidhamu Kumjadili na kuja na Maamuzi juu yake "...
  17. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Una-deal vipi na matapeli mtandaoni?

    Aisee Hawa watu wakuitwa matapeli wanakera sana. Wakipiga simu ukiwastukia wanaporomosha matusi yani hadi kwa wazazi wako wao wanatukana tu. Hivi haya makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutulinda sisi wateja wao waaminifu dhidi ya hawa matapeli?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

    Umuofia kwenu!! bado hiyo document haipatikani mtandaoni mpaka leo. maisha yetu ni kukopa na kulipa kila leo.....mwezi julai unakuja, mwezi wa kusomesha vijana wetu. jana nimefika kwenye taasisi ninayokopea wanataka na salary slip ya mwezi mei 2021 na si vinginevyo. naipata wapi, dar au dodoma?!!!
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kumbe kubandika stika ya BIMA kwenye kioo cha gari ni lazima, hata kama umekata BIMA yako mtandaoni

    Wana JF, Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA. Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
  20. GwaB

    JamiiForums Tanzania NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
Back
Top Bottom