Naomba muongozo kuhusu suala hili la kufundisha mtandaoni

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
208
250
Habari wanajukwaa,

Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje.

Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia?

Asante.
 

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,515
2,000
App unaweza kutumia
Zoom
Dingtalk
WeChat
Voow or trancet
Hizi ni nzuri sana kusomea.
Muhimu kabisa andaa lesson plan leta hapa tukague kufundisha ni mchakato unatakiwa ujue unaanza je aje ? Pia uwe vizuri lugha ya kingereza
 

Teleskopu

JF-Expert Member
May 5, 2017
208
250
App unaweza kutumia
Zoom
Dingtalk
WeChat
Voow or trancet
Hizi ni nzuri sana kusomea.
Muhimu kabisa andaa lesson plan leta hapa tukague kufundisha ni mchakato unatakiwa ujue unaanza je aje ? Pia uwe vizuri lugha ya kingereza
Asante sana kwa mchango wako mkubwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom