mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

    Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month. Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa. What's wrong!?
  2. Godbless mtega

    JamiiForums Tanzania Selection za form five 2021 zimetoka?

    Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia 5G. Sheria ya kulinda Taarifa binafsi za Wananchi yaja

    Na Prisca Ulomi, WMTH Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha kutungwa kwa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi iili kulinda faragha na taarifa za mwananchi. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo...
  4. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mitandaoni, kwani watu wa mitandaoni sio Watanzania au hawapaswi kusikilizwa?

    Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa mitaani. Au wanadhani watu wa mitandaoni wanatoka sayari nyigine? Mitandao ni platform sahihi kabisa ya...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je, ukataji tiketi wa mabasi ya mkoani kupitia mtandao una changamoto zozote?

    Habari zenu wakuu, Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi. Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
  6. MAMESHO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  7. malogi1976

    JamiiForums Tanzania Kwa TRA Tabora: Nililipa SDL mtandaoni lakini kwa sasa inaniambia payments of tax overdue

    Ninahitaji ushauri, Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi. Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa malipo ya mwezi unaofuata tutalipa online tumefanya hivyo ila sasa ukiingia online ninaona imeandikwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, umechafuliwa mtandaoni? Fanya yafuatayo

    Jaribu kubaki mtulivu, usijibu hata ikiwa unatamani kufanya hivyo Kulipiza kisasi hakutasuluhisha shida, bali itampa mtu majibu anayotafuta Chukua 'Screenshot' ya hilo chapisho ulilochafuliwa, utaitumia kama uthibitisho ikiwa utakwenda kuripoti
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

    Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu. Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zungu atoa ufafanuzi kuhusu kodi ya mtandao

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540...
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

    Habari wakuu, Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
  14. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  15. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  16. Napoleone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
  17. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu suala hili la kufundisha mtandaoni

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Asante.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapoagiza bidhaa Mtandaoni

    Chunguza Maelezo ya Bidhaa. Chukua muda kusoma na kuelewa yaliyomo kwenye bidhaa unayotaka kununua. Usidanganyike na picha zilizohaririwa vizuri zinazoweza kupotosha muonekano halisi wa kitu hicho. Linganisha bei za Bidhaa zinazofanana, lengo lako ni kununua bidhaa bora kwa bei nzuri. Soma...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotangaza biashara mtandaoni

    MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile unachotaka. Wafahamu kwa umri wao, wanaishi wapi, wanazungumza lugha gani na wapo katika hatua gani...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge kujadili Muswada wa marekebisho ya sheria ya makosa Mtandaoni

    Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country. Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
Back
Top Bottom