mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wazo la bidhaa ya kuuza mtandaoni ndani ya saa 24 tu...

    JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
  2. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  3. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sera ya mfumo mpya wa Elimu

    SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU. Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA. MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA, Ni Mfumo ambao, haujatengenezwa kwa ajili ya kila...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Morrison aanza kuwaendesha Yanga huko mtandaoni😂

    Admin wa mitandao ya kijamii ya Yanga ana kazi ya ziada msimu huu😆😆😆
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Watumiaji wengi wa intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu wa mtandaoni

    Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
  9. napenda movie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kupata pesa mtandaoni......?

    Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kutishia kurusha picha za uchi mtandaoni

    Msaada ndugu zangu, Kuna mtu anamtumikisha mke wangu kwa kumtishia kurusha picha za uchi za mke wangu mtandaoni. Naomba mnisaidie ni wapi nianzie kumdhibiti huyu
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni: Faragha ya Mtumiaji

    Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho. Njia za kuwa salama ni zifuatazo; 1- Tumia Password imara 2- Ruhusa uthibitisho wa njia mbili (Two factor Authentication) 3-...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AY: Kumfungulia Mtoto Mchanga Akaunti Mtandaoni ni Tatizo la Akili

    “Unakuta una mtoto mchanga unamfungulia akaunti mtandaoni, eti mtoto anaandika ‘Mama I love you’ kisha wewe mama unajibu ‘I love you too’, yote hayo unaandika na unajijibu mwenyewe, hilo ni tatizo la akili. “Siku hizi kuna matatizo mengi ya akili lakini hatujayagundua, unamfanya mtoto...
  13. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kuwakamata Matapeli wa mitandaoni na wale wa Kuuza Bata fake

    Wale Jamaaa wa tuma kwa number hii na pia wale wanao uza Bata Bukini fake kwenye Magroup ya Face book kuna ugumu sana wa kuwakamata. Mwanzo sikujua kwa nini Police hawawakamati, na pia mbona wana watapeli hadi Wajeda na hao hao Police? Nina Rafiki zangu Wajeda wamelizwa na pia Police wamelizwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanariadha wa Ujerumani ahukumiwa kifungo miezi 6 kwa SMS za vitisho kwa Wanawake waliowatongoza wakamkataa

    Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya. Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza...
  15. Mdudu Mende

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

    Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin) Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts, wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui...
  17. big dreamer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu mambo kadhaa kuhusu 'kutafuta mwenza/mchumba/rafiki mtandaoni'

    Asalaam aleykum.. Kristu.. Bwana yesu asifiwe Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo miaka ya 90 na 2000 mwanzani magazeti yalikuwa yakitumika kutafuta wenza au marafiki lakini kwasasa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Naanzishaje mfumo wa malipo mtandaoni, kwa kupitia App au kadi

    Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo. Najua hii nchi ina bureaucracy na changamoto na hizo pia ningependa kuzijua.
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania LATRA wafafanua madereva wa taksi za mtandaoni walioandamana kwenda ofisini hapo

    Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
Back
Top Bottom