mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanyabiashara mtandaoni hamjibu wateja wenu?

    Kuna vitu vya ajabu hili nalo ni la ajabu, kuna wafanyabiashara wanafanya biashara kwa kuzitangaza mitandaoni ila wanazima simu, au unakuta wengine hawapokei simu au hawajibu meseji au kusoma jumbe za mitandaoni na kuzijibu ikiwemo maswali hii ni ajabu kabisa. Hivi hawa wanakuwa hawajui wajibu...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Unakutana na Vikwazo gani unapofanya Biashara kwa njia ya Mtandao?

    Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022. Ongezeko kubwa zaidi linatajwa kutokea ifikapo mwaka 2026 ambapo zaidi dola za kimarekani Trilioni 8.1 zitakusanywa kutokana...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu #BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
  4. Mr. Purpose

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    ZINGATIA: Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rukwa kinara wa kutapeliwa kwa njia ya simu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
  6. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mtandaoni yameniangushia kwa binti mwenye ulemavu, hakika huyu ndiye chaguo la moyo wangu

    Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana. Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway. Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio jezi ya Yanga SC mitandaoni na uhalisia. Tumepigwa!

    Huu uzi ukiuona huko mtandaoni unaita kwelikweli, tafuta sasa wa uhalisia, utajua hujui. Anyway sio wa kuuzwa elfu 50, wana Yanga SC tunapigwa hapa
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Haki ya faragha Mtandaoni lazima izingatiwe

    Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi. Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutengeneza website kwa kutumia HTML na CSS , nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni?

    Wakuu naomba ushauri wenu hapo , baada kudesign website kwa kutumia HTML na CSS ,je nifanyaje ili website yangu iweze kuonekana mtandaoni
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, Unatambua Wajibu Wako Mtandaoni Kama Raia wa Kidigitali?

    Wajibu wa Raia wa Kidigitali inamaanisha uhusiano mzuri ulipo kati ya watu na mwingiliano wao mtandaoni. Hii ina maana kuwa nadhifu mtandaoni, kufanya matendo yanayofaa, na utayari wa kuwajibika kwa matendo binafsi mtandaoni. Wajibu huu unamaanisha maadili ambayo mtu anapaswa kuonesha...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli. Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika. Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
  12. J

    JamiiForums Tanzania 60% ya Raia Barani Afrika hawapo Mtandaoni

    Afrika ni eneo liliounganishwa na Intaneti kwa kiwango kidogo zaidi, ikielezwa takriban 60% ya Raia hawapo Mtandaoni. Hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama, Ujuzi kuhusu matumizi yake pamoja na uhaba wa Miundombinu unaokwamisha ufikiaji wa Huduma hiyo. Barani Afrika na Duniani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  14. M

    JamiiForums Tanzania TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  17. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafiri mtandaoni

    Jamaniiiii eh Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva. Mfano kama wanavyo fanya ping Utaratibu huwa upoje
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni inayotangaza Kombe la Dunia 2022 yapata mashambulizi ya mtandaoni

    Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano hiyo. Inaelezwa kuwa moja ya seva inayosambaza visimbuzi ilipata mashambulizi ya virusi mara saba...
  19. 666 chata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  20. Barackachess

    JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
Back
Top Bottom