mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya gadgets mtandaoni

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo. Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake. Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi. Karibuni kwa ushauri.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  5. JamiiForums Tanzania Rais na Mwenyekiti wa Chama changu (CCM), maadui wako siyo wapinzani Bali Machawa wa Mtandaoni na washauri wako baadhi

    Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini, Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja Mama nakusihi epuka mambo haya 1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge...
  6. JamiiForums Tanzania Mfumo wa polisi unatoa invalid control number unapoomba loss report mtandaoni

    Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

    CHADEMA kama ilivyo Kwa vyama vingine imesheheni wajumbe hadi wa mitandaoni. Ukweli mchungu Kuna Hawa wenzetu wa mitandaoni wenye kukaza bongo almaarufu kubadili bongo na kupania maembe: Kulikoni ndugu zetu ya Dr. Lwaitama kutambua umoja ni nguvu utengamano ni udhaifu yana kutokuwa yana...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

    Hakuna kilicho badirika wanaume wa mtandaoni ni malaya kuliko wa uko mtaani kwenu wanaume wa mtandaoni ni wanakula af wanakupotezea ivyo yaani
  9. JamiiForums Tanzania Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakipitia kurasa zako za mitandao ya kijamii wakati wa usaili utapata kazi?

    Wakuu, Kama tunavyojua na kama ulikua hujui basi uliweke akilini kuanzia leo, unachoweka mtandaoni hakifutiki, utasema nimedelete hakipo tena lakini ukweli ni kwamba kipo na kurudishwa ni sekunde tu. Hivyo ni muhumu kuchukua tahadhari unapokuwa mtandauni, kichani ukumbuke kila unachofanya...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuagiza bidhaa hii kwa AliExpress

    Habari za siku wadau wa JF, Moja kwa moja kwenye mada, Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
  13. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya watishia Kuifungia Twitter, Snapchat na Tiktok endapo zitatumika kuhamasisha Machafuko Mtandaoni

    Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya. Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yamtambulisha Mkude namba 6 aliyekuwa gumzo mtandaoni

    Hatimae ukweli umejulikana baada ya wapinzani kujaribu kuiba mchezaji airport now imefahamika rasmi kuwa wapinzani walimuiba mchezaji asiye sahihi.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  17. JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Wakuu, Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani. Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…