mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  2. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

    Tuambiazane faida za kumtafuta au za kumpata mwanaume mitandaoni wanadumu.
  3. Daydream

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kutongoza mtandaoni

    Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti. Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
  4. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  5. Benson GS

    JamiiForums Tanzania Soko la vitabu mtandaoni likoje?

    Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
  6. Heparin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michela Wrong: Nilimkosoa Rais Kagame, sasa napiga kelele baada ya kuzidi kwa Mashambulizi ya mara kwa mara mtandaoni dhidi yangu

    Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy. Hilo linaendelezwa tu kwa kurejea nyumbani kupiga selfie na...
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?

    Kuna mtu ana ushuhuda? Basi atudhuhudie. Hivi inawezekana kupata Mke/Mume mtandaoni?
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kurasa gani mtandaoni zimeku-block? Sababu ilikuwa nini?

    Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block; 1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa. 2. Martin Maranja Masese - huyu...
  9. Maleven

    JamiiForums Tanzania Leo nimepoteza baba yangu wa mtandaoni Gonzale Lira

    Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana. R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red...
  10. Shining Light

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kupigia kura mtandaoni: Urahisi, Usahihi, na Ufanisi katika Mchakato wa Uchaguzi

    Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005. Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Messi aongoza wanasoka waliotazamwa mara nyingi Mtandaoni 2023

    Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi mbalimbali kwa Mwaka 2023. Utafiti huo umeonesha mafanikio ya Kombe la Dunia na uhamisho wake kutoka...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

    Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali. Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded. Ni hivi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
  14. Sheillah Sheillah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiamini unamjua mtu kupitia mtandaoni kama haujawahi kukutana naye uso kwa uso

    Kama mtu haujawahi kukutana nae uso kwa uso usijiaminishe kwamba unamjua. Wewe unamjua kwa namna ambayo ametaka wewe umjue na asilimia nyingi huyo unayemjua ni mtu ambaye ni wa kisadikika hayupo (Fictional character). Unamjua kupitia mtandaoni na picha unazo amekutumia lakini ukitaka kuonana...
  15. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Mtu anavyoweza kuchafuliwa kupitia jina lake mtandaoni

    Upotoshaji kwa kutumia jina ni kitendo cha kutumia jina la mtu, kundi, taasisi au kampuni ambayo si wewe na kulifanya kama lako. Upotoshaji wa jina mara nyingi huwalenga watu, kampuni au taasisi maarufu ili lengo la mpotoshaji litimie kwa urahisi. Upotoshaji wa jina umekithiri sana katika...
  16. Gol D Roger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana kumuona Diamond Platnumz akisimangwa mtandaoni na Nigerians

    Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya. Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Starehe binafsi: Ni salama kuagiza hiki kitu mtandaoni ? Kwa hapa Tanzania wanauza ?

    Ni starehe binafsi kwajili ya kuvuta, kifaa hiki kinaitwa bong, waweza vutia kilevi kama tumbaku, naweza kukipata wapi hapa bongo ? nahofia kuagiza maana kimekaririwa kutumika kwenye kuvutia Marry Jane, nisije pigwa maswali nikienda kukichukua. Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio...
  18. blogger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Media personnel anawezaje kuandika maneno kama haya mtandaoni na akabaki salama?

    Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki? Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda mtu anakuwa amevimba kichwa na kusahau kabisa kwamba yeye pia si kitu si chochote. Huwezi andika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa bidhaa mtandaoni sio ndugu zako.Watu wa mikoani mtapigwa sana na watoto wa mjini kisa ubishi na kupenda vitu vya bei rahisi

    Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli. Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waziri anapobishana na mwananchi wake mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?

    Hii nchi yetu ni tamu sana. Ukiwa na stress umependa mwenyewe. Hapa nimekuletea tweet ya Waziri akibishana na mwananchi wake huko mtandaoni. Yako wapi maadili ya viongozi?
Back
Top Bottom