Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,082
40,735
Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
 
Hakikisha siku unakamatwa pia uwe umelewa, au tabia yako iwe inajulikana kama we ni mlevi ila kama ndo pombe za wikiend hapo hakuna ushahidi kwamba ulikuwa umelewa na hata kama ni kweli basi itaonekana umefanya maksudi kwa starehe zako kuiburudisha nafsi yako,
 
-Ulilazimishwa kwa nguvu na vitisho ulewe?
-Na kama ulilazimishwa au kuleweshwa kwa nguvu,hapo kabla ulifanya jitihada za kujinasua ili usilweshwe?
-Kama sivyo,ulileweshwa kwa kiasi gani hadi ukafikia sehemu ya kufanya matendo ya uhalifu/kutukana bila ridhaa yako?
-Na wakati unatenda uhalifu huo bila ridhaa yako,kuna mtu alikusimamia na kukushurutisha kwa nguvu alitishia uhai/usalama wako hadi utende huo uhalifu/kutukana?Kwa ushahidi upi?
KUMBUKA:Siyo rahisi tu kuisingizia pombe (intoxication) ili ukwepe "zawadi" yako ya ushindi.Kuwa makini kwa kila hatua.
 
Mtu anapoweka matangazo ya ulevi 24/7 nami nikanasa katika huo mtego, si ni sawa na kulazimishwa? (Trickery)
 
Ulishawishika na wala haukulazimishwa.Na aliyekushawishi atakueleza kwamba kwenye lebo ya pombe kuna ONYO/TAHADHARI kwamba:-
-unywe kistaarabu,
-matumizi ya pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako(kiakili,kimaamuzi sahihi),
-kunywa kistaarabu na kwa kiasi ili usiathiri maamuzi yako na usalama wa wenzako.
-Na uliaminika ni mtu mzima above 18 years of age.Unatambua jema na baya.Ndiyo maana ukapewa/ukauziwa pombe.
 
Wewe unashaidi gani kwamba mimi sikunywa kistaarabu, tuanzie hapo kwanza? Kila binadamu ana -react differently to chemicals!
 
Ustaarabu unapimwa kwa matokeo ya matendo,maneno na hata mawazo yako.Umehimili vipi hali yako na kuonesha uhalisia wako!Kwamba:-
-Umekunywa hadi haujaweza kutembea mwenyewe/au unajiweza kujimudu,
-kwamba umekunywa hadi umeanzisha fujo,kutukana watu,kuhatarisha amani na usalama/umeweza kuwa mtulivu na kuendelea na hali hiyo,
-kwamba pombe imekutawala hadi unatanya matendo ya hiyari na yasiyo ya hiyari kama kutukana,kulia,kucheka,kujisaidia bila ustaarabu(kujikojolea au kupuu kwenye nguo ulizovaa) na kuwa kero na msumbufu kwa wengine nk.
 
Back
Top Bottom