Inanisikitisha sana kumuona Diamond Platnumz akisimangwa mtandaoni na Nigerians

Joyboy

JF-Expert Member
Sep 16, 2023
1,361
3,404
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.

Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana.

Diamond Platnumz wanamshtaki sana kwa kuiga sana nyimbo za wa Nigeria na hata kuiga dressing style za wasanii wao.

Kama ndo hivyo bac mlio karibu naye mshaurini bac aachane na hayo mambo.

Yaan ukisoma vitu vingine vinavyoandikwa kweny hizo page ni aibu sana kwa msanii mkubwa kama Diamond.
Screenshot_20231120_132045_Instagram.jpg

Screenshot_20231120_132149_Instagram.jpg

Screenshot_20231120_132107_Instagram.jpg
 
1. Sio tu wanamsema vibaya wapo pia wanigeria wengi sana ambao wanamtetea na kumsifia (bongo huwa tunawaziana negativity tu)

2. Hawezi kuacha kusample na kucopy (kitu ambacho Nigerians pia wanakifanya kwa wasanii wa nje hususani US etc ili kumeet demand ya soko) na ndicho anacho kifanya huyo Diamond.

3. Kusample na kucopy ni karibia kila msanii anafanya inategemea anaifanya kwa namna gani....Burna boy ni miongoni mwa wasanii wanao ongoza kusample sana (na juzi kati hapo kuna msanii mwenzake wa Nigeria alimchana ukweli kwamba ni mjanja janja tu kupita na vibe za wenzake) lakini Bongo huwa tunawasimanga wasanii wetu tu huku tukifurahia wakitukanwa. Burna kuanzia mziki wake wote nadhani anapita alikopita FELA KUTI ni basi tu kabadilisha swaggerz kiaina but who cares? Angekuwa Harmonize, Rayvanny, Alikiba au Diamond kafanya vile huenda wabongo ndo wangekuwa wanaongoza kuwazodoa.

Nimetoa maoni yangu tu yeyote anaweza kuyakosoa kwa namna yoyote.

Kwa anaye hitaji kupewa maelezo kwamba ni kwanini nimesema hawezi kuacha kusample na kucopy basi anaweza akaniambia nimletee analysis ambayo juzi kuna mwamba aliifanya kwenye group moja la michezo kuelezea kwamba kwanini Nigerians wametuacha mbali sana kwenye music industry na sababu ambazo zinafanya Mondi anapita kwenye njia zao (Anafanya hivyo kwa sababu anaujua uhalisia uliopo na ugumu ambao upo mpaka ufike huko tunapo kutaka)

NB
Mondi kuzua hizo headlines sio kwamba wanamkomoa, hicho ndicho ambacho yeye anakitaka. Inawafanya muda mwingine waanze kumfuatilia hata ambao walikuwa hawamjui kwamba huyu mwamba ni nani. Mshikaji sometime huwa anatumia akili ndogo sana kuwin market....hapo hapo akiwa anazungumziwa sana unaskia anaachia pini, kila mtu tena atataka akasikilize kama kasample au vipi! lakini pia inamsaidia kwenye BRAND PRESENCE.

Ndiyo maana Harmonize kuna muda anaforce sana hata kufanya mambo ya hovyo ili tu azungumziwe kwa sababu he was well trained na Mondi how to make headlines na zinakulipaje kwenye business world japo unatakiwa kuwa makini sana maana kuna ishu zinaweza kudemage your Image, credibility & reputation ambavyo ndivyo vinakupa mileage kubwa sana.

Ref. Mistake ambayo Harmo aliifanya kwenye skendo ya juzi kati hapo, sijajua kama mpaka sasa ni Balozi wa kampuni yoyote. That was a grave mistake ni basi tu tupo kwenye nchi ambayo sometime mtu akifanya kitu cha hovyo unakuwa BRAND AMBASSADOR, ila kwenye smart companies hakuna mtu anakuchukua.

The man knows how to do business.

OMALICHA OMALICHA ila Nasibu mistari yake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.

Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana.

Diamond Platnumz wanamshtaki sana kwa kuiga sana nyimbo za wa Nigeria na hata kuiga dressing style za wasanii wao.

Kama ndo hivyo bac mlio karibu naye mshaurini bac aachane na hayo mambo.

Yaan ukisoma vitu vingine vinavyoandikwa kweny hizo page ni aibu sana kwa msanii mkubwa kama Diamond.
Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.

Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini na Zambia pamoja.

Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.

Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.

Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?

Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.

Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;

"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
 
Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Zambia pamoja.

Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.

Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.

Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?

Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.

Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;

"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
Hata wasanii wa Nigeria nao nimewaona wengi tu wakiwaiga Wamarekani weusi.

Kuanzia mavazi, kuongea, midundo ya miziki, drama, n.k.

Binadamu tunategemeana sana. Na ndo maana mimi madai ya cultural appropriation, kwa mfano, huwa siyakubali.

Sidhani kama kuna jamii ya watu popote pale hapa duniani ambayo inajitegemea yenyewe kikamilifu kwenye utamaduni wake.

Jamii nyingi huigana kwa kuchukua vipengele flani flani toka kwa jamii zingine.

Tena zama hizi ndo kabisa, kuigana limekuwa ni jambo la kawaida kabisa.

Sasa hivi hakuna cha kushangaza kumwona mdada wa Johannesburg akiwa na swaga zinazofanana na za De’Asia kutoka Bankhead au Josephina kutoka Salasala, Dar es Salaam.
 
Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.

Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini na Zambia pamoja.

Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.

Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.

Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?

Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.

Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;

"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
Umebonga fact sana mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
WanaNigeria walijiaminisha kwamba wao ni bora kwa kila kitu kuliko Waafrika wengine.Sasa mambo yamebadilika,roho zinawauma sana kuona watu kutoka nchi zingine za Afrika kuanza kuwapa challenge.Hapo Diamond kawashika pabaya.Kinachofanyika ni wivu tu hakuna kingine.Kama kuiga mbona hata wao kwenye movies zao wanaiga mambo mengi tu toka Holywood na Bollywood?
 
Ni kweli Diamond anawaiga Wa Nigeria kuanzia midundo mpaka kuimba anatumia sana pidgin English yao.

Na huu inaonekana ni mkakati wa kibiashara, kwa kuangalia market iliyopo Nigeria. Nigeria ina watu angalau milioni 215, that is a big market. Hiyo population ni sawa na kujumlisha Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan ya Kusini na Zambia pamoja.

Kwa mfano anapoimba "You dey make me sing...". That is Nigerian /West African pidgin English. Huku Tanzania hatuongei hivyo, tunaongea Kiswahili na tukiongea Kiingereza hatutumii pidgin English.

Ila, binafsi, naona kuwa sanaa inahusisha kuchanganya vionjo mbalimbali vya sehemu mbalimbali, na mtu asihukumiwe kwa kutohoa vionjo vya sehemu nyingine, bali ahukumiwe kwa kuangalia kama sanaa yake ni nzuri au si nzuri.

Hivi Wajamaica wangesema reggae ni muziki wao, mtu mwingine asiye Mjamaica asipige wala kuimba reggae, reggae ingekuwa wapi leo? Tungekuwa na kina Lucky Dube, Alpha Blondy, Albarosie, Collie Buddz, Jah Kimbuteh etc?

Katika wimbo wa "Aje" wa Ali Kiba na Rapper M.O wa Nigeria, M.O anaongelea jinsi alivyochanganywa na wanawake wa Kitanzania mpaka anajifunza Kiswahili kusema "Sawasawa" na "Mambo Vipi". Mimi nilichukulia mistari hiyo vizuri kwamba huyu msanii wa Nigeria anachukua interest Tanzania na kwenye Kiswahili. Sikuona anaibia Watanzania lugha yao.

Rapper Guru wa kundi maarufu la Hip Hop Gangstarr ali rap katika wimbo "Don't Take it Personal" kuhusu habari za wasanii kuibiana muziki, akasema;

"Rap is an art, you can't own no loops
It's how you hook 'em up and the rhyme style, troop
So don't even think you could say someone bit
Off of your weak beat, come on, you need to quit"
Sijasoma muda mrefu comment zako zilizo sheheni maarifa mengi hapa jukwaani 😊🤓 nakusalimia brother...........
 
Back
Top Bottom