Saizi ndo napitia hio changamoto. Vipi uliisolve vipi mtaalamMimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
Watu wanachepusha miamala ya serikali ili kwenda na ule mdundo wa kula kwa urefu wa kamba.Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.