OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,186
- 103,704
Kichwa cha habari kinahusika,
Tupo hatua za mwanzo kabisa kuona jinsi tunavyoweza kuwashitaki wahusika waliozima mitandao ambapo ni takribani wiki sasa.
Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa.
Kwa yeyote anayetaka kujumuishwa kwenye hii kesi akaribie sana.