mtandao

  1. J

    JamiiForums Tanzania TARURA kuondoa vikwanzo mtandao wa barabara za Wilaya

    TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote. Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

    Salaam! Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram. Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri. Asante.
  3. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni mtandao gani wa simu wenye latecy ndogo?

    Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter kubadilishwa jina na mwonekano kuanzia leo, Itaitwa "X"

    Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'. Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakamata mtandao wa majasusi wa wanawake waliokua wanaisadia Urusi

    Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi..... Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk region, which allegedly had been leaking information to Russia’s intelligence services and Wagner Group...
  7. Kingcol

    JamiiForums Tanzania Dereva Private (Tax Mtandao)

    Habari! Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi ahoji kuhusu Usalama wa Taarifa zilizokusanywa na Sarafu Mtandao ya 'Worldcoin'

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
  9. flaketzofficial

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya mtandao Tanzania: Kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa jamii hasa watoto kupitia mtandao

    Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida. Hata hivyo, Pamoja na furs ana faida zinazotokana na mtandao, pia kumejitokeza changamoto...
  10. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
  11. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Tanzania izuie matumizi ya Mtandao wa Tiktok

    Hello wanajf, Mtandao wa Tiktok ni mtandao unaokuja kwa Kasi Sana. Mtandao huu unatengeneza addiction Fulani ambayo inamfanya mtu asichoke kabisa kuutumia. Nilichokiona mpaka sasa ni kwamba asilimia kubwa ya vijana, watoto na wazee wanashinda huko. Athari za baadae 👉 kupunguza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtandao wa simu unakupa sms 10 kwenye kifurushi cha 1500 au 2000 ujue hali ni mbaya

    Salam, mambo ni mengi kwa sasa tuendelee tu Hii mitandao ya mawasiliano sàsa naona kama iko taabani. Inaonekana inapumulia mashine ya gesi ila yanajikaza kisabuni. Yaani sms za kuhesabu sàsa hivi tofauti na zamani. Huwa nikijiunga kifurushi huwa siangalii sms ziko ngapi, huwa najua zipo tu...
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

    Hello keyboard warriors, Imekuwa kawaida sana kusikia kauli kama "Bado unatumia Facebook?" pale mtu anaposhika simu yako na kuikuta hiyo app. Binafsi mtandao wangu pendwa wa muda wote ukitoa JamiiForums ni Facebook. Kwanini wewe hutumii Facebook ilhali watu maarufu wote wanautumia na...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Airtel ndiyo mtandao wa ovyo zaidi Tanzania

    Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain bado mpya. Nikamuuliza wewe si unaona hapo lakini? Akaniuliza wewe ni Masai wa wapi hujui hata...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mtandao wa Threads yadaiwa kushuka kwa 75%

    Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Sensor Tower inayohusika na masuala ya utafiti wa Masoko ya Kimtandao, umebaini kuwa matumizi ya #Threads yameshuka kwa 75% ikiwa ni wiki chache tangu Mtandao huo kuingia sokoni. Threads ambayo ilifanikiwa kuweka rekodi ya kupakuliwa na watumiaji zaidi Milioni...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Umefichwa hili kuhusu mtandao wa Linkedin

    Lengo kubwa la Application ya Linkedin ni kuwakutanisha wataalamu na wabobezi kwenye sekta mbalimbali, na kutengeneza njia zaidi kwenye uzalishaji na kukua kwa vile ambavyo wanavifanya. Ndani ya Linkedin kuna kampuni zaidi ya Milioni 57 ambazo huonesha bidhaa, huduma na fursa za kazi duniani...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%

    Matumizi ama daily usage ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo intaneti iko chini sana

    Heading inajieleza wana jamvi, Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
  20. C

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Bolt natafuta kazi

    Habari, naitwa Daniel ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza fanyia kazi. Tunaweza wasiliana muda wowote kwa namba 0782427688. Ahsante
Back
Top Bottom